Recent content by Yangongo

  1. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Jeshi la zimamoto vip
  2. Yangongo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Kupunguza miaka ambayo Wanafunzi hutumia katika masomo ili kukuza Uchumi

    Mpaka kufika chuo inamchukua miaka 18 yaan kutoka awali mpaka la saba miaka nane jumlisha miaka 6 ya advancebna orlevel unapata miaka 14 jumlisha miaka mitatu ya chuo jumla miaka 17 na mwaka mmoja wa kusota miaka 18
  3. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela kwa kuwapiga picha polisi wakikata roho

    Ni sahihi kabisa hao ni binaadam pia
  4. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

    Lengo lao ni kuuza hiyo chanjo, Mungu yupo hata acha hili lituathiri.
  5. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Wapunguze miaka ya kusoma imekuwa mingi mno na haina maana yoyote zaidi ya kupoteza muda inakera sana unapoteza muda 18yrs unasoma hakuna ajira wala uwezo wa kujitegemea kwenye soko la ajira African we are not seriously
  6. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Watalaam na wasio watalaam naomba kujuzwa

    Kabisa dada yangu mimi nakumbuka nilipooa ndio mambo yangu yakaanza kunyooka huko nyuma ilikuwa nikipata pesa naanzisha miradi inakufa hasara na mimi, mpaka nikahisi nimerogwa nikaenda kutambika kwetu nikahisi mizimu imechukia [emoji1][emoji1][emoji1], nilipooa tu kwisha habari, kumbe mda...
  7. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Watalaam na wasio watalaam naomba kujuzwa

    The same kwa mwanamke na mwanaume ndio maana kufanya mapenzi hovyo hovyo ni kujiharibu mwenyewe
  8. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Niulize jinsi ya kutengeneza game

    Ok
  9. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chuo bora kwa kozi za biashara, hususan Business Administration

    Karibu OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA CHUO BORA KABISA KWA MASOMO YA BIASHARA SAYANSI NA SANAA
  10. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa madhara ya mwanaume Kukaa muda mrefu sana bila kufanya mapenzi

    Unakaa muda wote huo bila kufanya mapenzi lazima utakuwa unapiga mgalala, wiki moja tu akili haikai sawa
  11. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

    Ahsante kwa ufafanuzi huu ndugu yangu, lakini unakumbuka Mungu alipokuwa anaumba dunia alizihesabu siku, yaani kutoka siku ya kwanza alipotenganisha Nuru na Giza pale mwanzo 1:1 ile ilikuwa siku ya kwanza na kama hakuna muda kwa Mungu je alikuwa anauhesabu vipi ule muda wa siku saba katika...
  12. Yangongo

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Yaani kuna mengi sana tusiyoyajua ila tupeane jamani ili tuzidi kuongeza maarifa ila Mungu pengine aliyaficha mengine ili tu tuwe salama
Back
Top Bottom