Naomba kujuzwa chuo bora kwa kozi za biashara, hususan Business Administration

0swagg

Member
Jun 29, 2020
36
12
HABARI

Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION

Kuna muhitimu anataka kujiunga nakozi ya Business ADMINISTRATION kwangazi ya BACHELOR

Mwenye uelewa mpana kuhusu hii kozi atusaidie pia..
 
TIA the best
 
kwanza hongera kwa kuweza kuchaguliwa kuendelea na masomo ya ngazi ya juu, Naam vyuo kwa hapa Dar vinavyotoa kozi ya BBA ni vyingi sasa basi kujua ni chuo gani bora inabidi utambue kuwa chuo bora hutokana na ubora wa wanafunzi hivyo basi ubora wako ni kitu cha pekee na si chuo bora .
 
Unaweza weka list ya vyuo
 
HABARI

Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION

Kuna muhitimu anataka kujiunga nakozi ya Business ADMINISTRATION kwangazi ya BACHELOR

Mwenye uelewa mpana kuhusu hii kozi atusaidie pia..
Karibu OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA CHUO BORA KABISA KWA MASOMO YA BIASHARA SAYANSI NA SANAA
 
Back
Top Bottom