Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #121
Kama mambo ndio haya basi bado tuna safari ndefu sana mkuu...Kwani la saba miaka hii kuna mtihani au uhuni?
Walimu wanawapa wanafunzi majibu yote, hesabu ni multiple choice.
Nilibahatika kwenda shule ya vipaji 2006/2007. Kule niliwakuta waliopata mpaka 100/100 kwa baadhi ya masomo. Mimi nilipata A 4 na B 1 sikuwa na marks kubwa sana sema tu nilichaguliwa kwakuwa shule ilikuwa kijijini Sana yaani porini na ni changa wakanibeba.