Recent content by yampwai

  1. yampwai

    JamiiForums Tanzania "Elimu haina mwisho" mzee wa miaka 88 ahitimu chuo

    hakika haina mwisho
  2. yampwai

    JamiiForums Tanzania Activate Windows

    nashukuru mkuu kwa msaada wako tatizo langu limekwisha thanx alot WAHEED SUDAY
  3. yampwai

    JamiiForums Tanzania Activate Windows

    wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu ya hili naomba anieleweshe
  4. yampwai

    JamiiForums Tanzania Tambua kama simu yako ni fake au original kwa kutumia IMEI ya simu yako

    Kwa wale mliozoea kuuziwa simu fake tambua kama simu yako ni original au fake kwa kutumia IMEI ambayo unaipata kwa kubonyeza *#06# kisha angalia namba ya 7 na ya 8 Best Way to Know Your Phone Better and originality:- Look at the 7th and 8th digit of your IMEI. These two digits will ensure...
  5. yampwai

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo "JIPU" litumbuliwe

    Pamoja na serikali kumwaga hela za kujikimu kwa wanafunzi wa Elimu ya juu bado wanafunzi ambao wamefanya "Transfer" wameendelea kuteseka kwani tangu wahamie kwenye vyuo vipya hawajawahi kupewa hela zao za kujikimu mpaka leo. Bodi ya mikopo kuweni na huruma na hawa wadogo zetu kwani...
  6. yampwai

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kumuuliza au kumshauri mheshiwa ukikutana na yeye?

    a.k.a mzee wa visenti
  7. yampwai

    JamiiForums Tanzania My lunch today...!

    kwa sisi "wasukuma" hicho ni chakula cha mtoto wa miezi miwili
  8. yampwai

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    jamaa: za siku...upo mimi: hapana sipo
  9. yampwai

    JamiiForums Tanzania Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

    shetani shwaini
  10. yampwai

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    The student with Index number 'S1206.0118.2012' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.
  11. yampwai

    JamiiForums Tanzania Ground opens up, swallows dozen cars in Mississippi!

    Wataalamu wa jiolojia wameitwa kuchunguzwa ni jinsi gani ardhi ilipasuka na kumeza magari 12 katika maegesho ya magari jijini Mississippi. Shimo kubwa, la urefu wa futi 400 (120m) na upana wa futi 35 (11m), lilitokea baadaye Jumamosi katika eneo la Meridian, karibu na barabara kuu ya...
  12. yampwai

    JamiiForums Tanzania Let's check how smart are you

    TEST: How fast can you fill the words? 1) S _ X 2) _ _ NDOM 3) F _ _ K 4) P _ N _ S 5) PU _ S _ 6) BOO _ S Now scroll down: . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
  13. yampwai

    JamiiForums Tanzania je? mpumbavu ni tusi

    habarini wakuu wa jukwaa hili yapo maneno ambayo kwa hakika yamekua yakitumika kwenye jamii yetu na kuonekana ni matusi ila kwa upande mwingine yakionekana sio matusi. Mwenye kujua maana halisi ya maneno haya na matumizi yake naomba anitoe kwenye utata huu 1.Mpumbavu 2.Falaa 3.Mjinga...
  14. yampwai

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno 'mpumbavu' kadiri ya kamusi ya Kiswahili Sanifu ya TUKI

    habarini wakuu wa jukwaa hili la lugha yapo maneno ambayo kwa hakika yamekua yakiitumika kwenye jamii yetu na kuonekana ni matusi ila kwa upande meingine yakionekana sio matusi. Mwenye kujua maana halisi ya maneno haya na matumizi yake naomba anitoe kwenye utata huu 1.Mpumbavu 2.---- 3.Mjinga...
  15. yampwai

    JamiiForums Tanzania 25 october el-clasico

    kombe linabaki UKAWA ✌✌✌✌✌✌✌✌✌
Back
Top Bottom