yampwai
Member
- May 16, 2013
- 27
- 6
habarini wakuu wa jukwaa hili yapo maneno ambayo kwa
hakika yamekua yakitumika kwenye
jamii yetu na kuonekana ni matusi ila
kwa upande mwingine yakionekana
sio matusi. Mwenye kujua maana
halisi ya maneno haya na matumizi
yake naomba anitoe kwenye utata
huu
1.Mpumbavu
2.Falaa
3.Mjinga
4.Lofa
hakika yamekua yakitumika kwenye
jamii yetu na kuonekana ni matusi ila
kwa upande mwingine yakionekana
sio matusi. Mwenye kujua maana
halisi ya maneno haya na matumizi
yake naomba anitoe kwenye utata
huu
1.Mpumbavu
2.Falaa
3.Mjinga
4.Lofa