Bodi ya mikopo "JIPU" litumbuliwe

yampwai

Member
May 16, 2013
27
6
Pamoja na serikali kumwaga hela za kujikimu kwa wanafunzi wa Elimu ya juu bado wanafunzi ambao wamefanya "Transfer" wameendelea kuteseka kwani tangu wahamie kwenye vyuo vipya hawajawahi kupewa hela zao za kujikimu mpaka leo.

Bodi ya mikopo kuweni na huruma na hawa wadogo zetu kwani wanateseka huko vyuoni.

Raisi Magufuli hebu lione hili "JIPU" limeiva linafaa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom