Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

Shetani we nikiazii kweli maana hausomeki kabisa. ......nataka nikualike kwenye ibada tukasifu na kuabudu.
 
Eti shetani wewe ni mwanaume au mwanamke na je una uhusiano wowote na Wasira. ?
 
Shetani eee...mimi na nyumba yangu tunamkataa shetani kwa nguvu zetu zoote...toooka na ushindwe
 
Weeee shetan kwel au haya niambie mlango wa bahar wa kuingilia ukoje
 
shetani kaingia mitini mbona hajibu maswali ya watu?..eti we shetani kati ya CCM na CHADEMA yupi unaemtumia sana
 
ha ha ha ha huyu shetani ni kiboko anapngea kiswahili halafu yupo JF jukwaa la Utani
 
Back
Top Bottom