Ground opens up, swallows dozen cars in Mississippi!

Ground opens up, swallows dozen cars in Mississippi!

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,629
Reaction score
6,812
attachment.php

Tests are to take place to determine why the ground opened up in a Mississippi city, swallowing 12 cars in a restaurant car park.

The large gash, some 400ft (120m) long and 35ft (11m) wide, opened up late on Saturday in Meridian, near the Alabama state line.

The area had suffered heavy rains over the past two weeks, the Meridian Star newspaper reported.

No-one was injured, and engineers will assess the ground on Monday.

Buck Roberts, the director of public safety in Meridian, told the newspaper it did not appear to be a sinkhole, which is usually caused when an underground water aquifer dries and the ground above it collapses.

"You can call it what you want, a cave-in or whatever, but it is not a sinkhole," Mr Roberts said.

BBC - November 9, 2015
 
Attachments

  • CTS39zmWwAEscoD.jpg:large.jpeg
    CTS39zmWwAEscoD.jpg:large.jpeg
    32.1 KB · Views: 1,596
Wataalamu wa jiolojia wameitwa
kuchunguzwa ni jinsi gani ardhi
ilipasuka na kumeza magari 12 katika
maegesho ya magari jijini
Mississippi.

Shimo kubwa, la urefu wa futi 400
(120m) na upana wa futi 35 (11m),
lilitokea baadaye Jumamosi katika
eneo la Meridian, karibu na barabara
kuu ya Alabama.

Eneo hilo limekuwa likipokea mvua
kubwa katika kipindi cha wiki mbili
zilizopita, kwa mujbiu wa gazeti la
Meridian Star.
Hakuna aliyejeruhiwa katika kisa
hicho, na wahandisi wanatarajiwa
kudadisi uthabiti wa ardhi eneo hilo
leo.

Bw Buck Roberts, mkurugenzi wa
usalama wa umma eneo la Meridian,
aliambia gazeti hilo kwamba hilo
halionekani kuwa shimo la kawaida
ambalo hutokana na sehemu
inayohifadhi maji chini ya ardhi
kukauka na ardhi kuporomoka.

source: BBC SWAHILI
 
End of the world is around the corner! Get closer to your God
 
The weak rock layers below the surface were disturbed by heavy load and water absorption, such that the creeping was so high.
 
dissolution of carbonate rocks,ndo yanatokea hayo mambo ya sink holes.Huko mbona sio jambo jipya?
 
Wengi wetu ambao elimu ilisafiri kipindi tulitakiwa tuipate tutaona ni maajabu lkn wenzetu ni common na yataendelea kutokea sehemu nyingi tu. Si ajabu ht kidogo ni jogoorafia na fisi sikia kidogo + jibu unalo
 
Buck Roberts, the director of public safety in Meridian, told the newspaper it did not appear to be a sinkhole, which is usually caused when an underground water aquifer dries and the ground above it collapses.

"You can call it what you want, a cave-in or whatever, but it is not a sinkhole," Mr Roberts said.

Wataalam oops geologists watachema.
 
Magari 12 yaliyokua katka maegesho katika hotel moja jijini Mississippi marekani yalitumbukia katika shimo la urefu wa mita 400 na upana wa futi 35 katibu na barabara kuu ya alabama baada ya ardhi kupasuka juzi
Tukio hilo halikusababisha kifo cha mtu yeyote
 
Rais katukataza mambo ya nje!
 
Magari 12 yaliyokua katka maegesho katika hotel moja jijini Mississippi marekani yalitumbukia katika shimo la urefu wa mita 400 na upana wa futi 35 katibu na barabara kuu ya alabama baada ya ardhi kupasuka juzi
Tukio hilo halikusababisha kifo cha mtu yeyote

Hebu wanafunzi mpewe mikopo haraka mrudi vyuoni maana naona mnaishia kumaliza tu hewa hapa jukwaani. Ukitoka hapa kafue nguo za mdogo wako tafadhali maani hili ni jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom