Recent content by yajutu

  1. yajutu

    JamiiForums Tanzania Car wash inauzwa Geita.

    Sasa 40k kwa siku mpka 60k halafu unauza, Ukipiga hesabu 40k×30 kwa mwezi jibu kinakuja milion 1 na laki 2 ukizidisha kwa mwaka 1200000×12 jibu linakuja m14 haya ukitoa undesha ubakiwe na M10 faida kubwa
  2. yajutu

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

    Sasa kama kila nchi sadaka zinaenda Vatcan, hao jamaa wa Vatcan wanaweza kununua bara la Afrika wakiamua,fikiria kila wiki sadaka zinaenda vatcan, na sio sadaka za Tanzania tu Duniani kote walipo wa Roman catholic,kila wiki sadaka ziende Vatcan miaka yote,
  3. yajutu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuchangia fremu ya biashara

    Kwann iwe ke tu
  4. yajutu

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mawe ya tonsez

    Husabaishwa na nini tonsil stone
  5. yajutu

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa namkubali sana

    Cheki siries moja inaitwa, The last ship,ni bonge la siries Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  6. yajutu

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa namkubali sana

    Hivi hiyo siries ina epsode ngap? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  7. yajutu

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa namkubali sana

    jamaa mmoja anaitwa Dembe Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
  8. yajutu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mapenzi yananinyima raha, sijui ni psychological problem

    Ni kweli amependa kupita kiasi na huyo aliempenda hajampenda kama yeye alinavyo mchukulia iliwahi kunitokea hiyo hali lakin yule manzi alikua ananiambia jiamini
  9. yajutu

    JamiiForums Tanzania Innocent Defendent moja ya Bonge la Series

    Best season kwangu ni Prison break Blacklist The last ship squid game Undercover kama hujawahi kucheki hizi season fuatiliau hautapoteza mda wako
  10. yajutu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

    Kitanda hakizai haramu huyo mtoto sio wako tena sahau kabisa toa wazo hilo na ukitaka ufe siku sio zako jaribu kurefusha mdomo,wewe ni mwizi wa mke wa mtu huna hata aibu kuleta mada hiyo hapa
  11. yajutu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweliii nguo za mitumba hutupwa Kama taka huko ulaya na baadae kuletwa Africa?

    Inadhalilisha kivipi sasa wakati hata wewe unaweza kupewa nguo iliyovaliwa na ndugu yako inamaana kukupa nguo atakua amekudharau?
  12. yajutu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweliii nguo za mitumba hutupwa Kama taka huko ulaya na baadae kuletwa Africa?

    Sasa kama ni taka kwann yanauzwa bei kubwa mabelo
  13. yajutu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wakati upi unajisikia amani Kati ya usiku na mchana

    Kiukweli kulala ni raha sana hasa ukiwa huna madeni na una mke wako unae mpenda mda wote ni kutiana na kupitiwa usingz mkiamka ni kula na kulala tena
  14. yajutu

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Hakika umenena vyema msimu huu wamepga noti,chungwa moja huku kwetu Tsh300 Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom