Msaada: Mapenzi yananinyima raha, sijui ni psychological problem

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Wakuu msinicheke mficha uchi hazai

Siku hizi nimepata sijui ni depression, sijui stress sijui ni anxiety au nini.

Siku za nyuma nilipokuwa na mpenzi yeyote au wapenzi, basi nikimtafuta mpenzi through phone either text au call, hata hasipopokea basi nachukulia poa yaani don't Care, ajibu asijibu basi, sijui kwa kuwa nilikuwa busy Sana kwa wakati huo au la.

Now days kazi ninazofanya haziniweki Sana busy Kama zamani, Sasa kimbembe nikimtafuta mpenzi wangu hasipojibu kwa wakati roho inauma, yaani stress zinapanda hadi BP inaweza panda, nikimuomba kitu hasiponikubalia kwa muda huo naona Kama hanitaki, basi Ni stress mwanzo mwisho moyo unaenda mbio hadi njishangaaa.

Hii hali imenifanya nisitafute mademu kwa kuhofia wakinikorofisha kidogo stress zitaniua. Zamani sikuwa hivi sijui ni ugonjwa gani au nimerogwa.

Ndugu zangu mnawezaje ku control stress, wasiwasi kwenye mapenzi.

Naona nitakufa bure kwa nonsense reasons
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,381
2,000
Ni kweli amependa kupita kiasi na huyo aliempenda hajampenda kama yeye alinavyo mchukulia iliwahi kunitokea hiyo hali lakin yule manzi alikua ananiambia jiamini
Huwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.

Hii hali ikikutokea kwa mpenzi wako manaake utaanza kumchunga,utaanza kutaka akujibu sms kila unapotuma tu,akiteleza kidogo utaanza kuhisi analiwa nje na wahuni! Akikunyima K ndio moto utawaka balaa!
 

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
296
500
Jitahidi kubalance upendo na upunguze mtarajio makubwa...siku Mambo yakiwa worse utakuwa kwenye Hali mbaya.
 

Attachments

  • File size
    597.2 KB
    Views
    9

Chogo Mimba

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,050
2,000
Kila siku nawaonya mwanaume huwezi kuwa na demu mmoja lazima uwe na backup
Issue siyo kuwa na mademu wengi. Unaweza ukawa na mademu wengi lakini nafsi yako ikawa empty. Kikubwa ni kujipenda kwanza wewe, na kufurahia company yako, hata ukiwa na company ya watu wengine utafurahia uwepo wao kwa muda huo, mkiwa mnashare moment tu. Hakuna kinachodumu na hakuna kisicho na mwisho. Hao mademu hautakuwa nao 24/7 kuna muda utakuwa peke yako. Kwahiyo kuna umuhimu wa kufurahia company yako.

Na hapo mkuu hajapenda yupo obsessed na demu.
 

Chogo Mimba

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,050
2,000
Ukimpenda mtu mpe nafasi ya kufanya mambo yake ili na wewe ufurahie mambo yako. Huyo ukiachana naye utaumia sana, kwa sababu umeshakuwa obsessed naye to the point yupo kwenye mawazo yako muda wote mkuu.
 

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Huwa inaitwa insecurity, ni zao la kupenda kitu kupita kiasi kwamba unakuwa na hofu kisipotee au kuharibiwa! Mara nyingi kichocheo ni kuwa loose bila kuwa busy inaupa muda akili yako kufikiria mpenzi zaidi kuliko mambo mengine.

Hii hali ikikutokea kwa mpenzi wako manaake utaanza kumchunga,utaanza kutaka akujibu sms kila unapotuma tu,akiteleza kidogo utaanza kuhisi analiwa nje na wahuni! Akikunyima K ndio moto utawaka balaa!
Kabisa mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom