Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,209
- 4,724
Pamoja na maelezo mazuri ila watu wa ulaya wananunua nguo na kuzivaa kulingana na vipindi vya majira either baridi au joto. Kipindi cha baridi watu wa ulaya walio wengi huzigawa nguo zao ambazo walizivaa kipindi cha joto au huziuza kwa thamani ya chini ili wanunue au wapate kuvaa nguo za kipindi cha majira husika.
Hii biashara ya mitumba imefaidisha sana ulaya na marekani. China hakuipenda hii biashara tangu zamani ila naona na yy siku izi kaichangamkia sana.
Zamani shati la XL au XXL mtumba kutoka america au ulaya ni kama lile la braza K wa futuhi ila siku izi nguo au viatu vina saizi ndogo kiasi ambacho naona mzigo unatoka sana Asia maana wale maumbo yao madogo sana na ubora pia wa hizi nguo za mitumba nao umepungua sio kama zile za zamani.
Kuanzia viatu
Mashati
Suruali
Matisheti