Recent content by yaasary

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaheshimu sana cheti cha form four?

    Aisee mi mwenyewe sikumwelewa
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Hapo inabidi umuoneshe kweli we ni mbwa
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Akipatikana Spika Mpya Bunge litaendelea kuwa la 12 au litabadilika kuwa la 13?

    Dah.. ukiangalia mtililiko huu kuanzia bunge la 9 kila spika alihudumu miaka 5 tu, inawezekeana ndugayi nae alitakiwa aishie 2020 isije kuwa baadhi ya vitu vinatokea kwa sababu ...hii imekaaje kwenye ule ulimwengu mwingine Mshana Jr
  4. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Ndio Zipo buddle za usiku Hallotell kuanzia saa 6 ucku mpaka 12 asubuhi , Kama alivyoeleza hapo juu ,
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

    Hichi ndio anachotakiwa kufanya
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Ndio njia zote zipo, unaweza download App ya Nssf au kwenye Website yao ingia kwenye "member portal"
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Sio kila operation ya kijeshi lazima iwekwe public , ushaambiwa ni magaidi , hapo ujue Kuna inshu ya National security pia
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa

    Habar mkuu, hongera kwa kufikiria kutoka katika kuajiriwa ...Ila kabla ya kukushauri zaidi naomba nikuulize 1) Unatemegmea hela yako utakayoipata kutoka mifuko ya hifadhi ya jamii ndio uitumie kuwekeza kwenye huo mradi unaoufikilia? 2) Ulishawahi kufanya kilimo Cha biashara katika scale yoyote...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini jiko la mkaa ukiwa ndani linaweza kupelekea vifo

    Shukran mkuu, topic yako imenikumbusha mbali , kuongezea tu ... Carbon monoxide ina affinity 200x kubond na haemoglobin kuliko Oxgen , yaan Kama oxygen na carbon monoxide zitafika kwa pamoja haemoglobin ita prefer kubond na carbon monoxide kuliko oxygen unless concentration ya Oxgen iwe kubwa
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

    Ndio ashakutongoza hivyo ...wengine ndo huwa style zetu za kutongoza , ni Kama vile unakimbiza mwizi kimya kimya atapiga kelele mwenyewe Kama wewe ulivyokuja kupiga kelele huku na huwa inafanikiwa ...sasa kama nawe umempenda endelea kumsalimia tu one day atakuita muende sehemu ndo itakuwa...
  11. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Mahusiano / Ndoa zenye Wapenzi ambao Mwanaume ni mrefu kuliko Mwanamke hudumu kuliko wale ambao wana Kimo sawa

    itabidi waolewe na wanaume walefu ; hakuna namna[emoji16][emoji16][emoji16]
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa kilimo cha Greenhouse

    Morogoro sehemu gani
  13. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar, Ameniacha na maswali mengi sana huyu mwanamke...

    Alikuachia number kwenye seat ; hujasema kama ulimpatia number yako; kama sijakosea wewe ndio ulianza kumpigia baada ya kuachana ...mbona ulimtafuta ulitegemea akuambie nini labda?
  14. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    w2is is hv ý 6666yu56u r5http zg4y3ýģģ f7uu65rrently tee
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Pata submersible borehole pumps

    Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini *Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge 16m-cubic/hr, country of origin -China , Price 5,000,000tsh (mpya) *Manufacture...
Back
Top Bottom