Kwanini watu wanaheshimu sana cheti cha form four?

Kwanini watu wanaheshimu sana cheti cha form four?

Elimu ya chuo imekaa kifala sana. Wangefanya kuwe na board inayosimamia mitihani ya chuo, mtihani mmoja unafanywa na vyuo vyote kwa faculty husika. Hii ingesaidia kufanya standards.
 
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.?


Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa Nchi ya Matiyaski Ana masters Ila watu wanambeza Sana wanasema Elimu yake ni fake kisa tu alipata Four ya mwishoni .
 
Back
Top Bottom