GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,486
- 108,610
Ni kwamba kama kuna Mahusiano au Ndoa ambazo Wanaume ni Warefu kuliko Wanawake basi kwa 99.9% huwa zinadumu hadi kuwa hata na Mafanikio Maishani kuliko zile ambazo utakuta Wapenzi wote Wawili wana Kimo sawa au Mwanamke amemzidi Mwanaume.
Kwahiyo hapo ulipo sasa unaweza ukalifanya tu hili zoezi mwenyewe kwa kumuangalia Mkeo au Demu wako na kama unamwona mnalingana Kimo au amekuzidi nakushauri kama ulishapeleka ' Mahari ' Kwao wahi sasa hivi ukaichukue kwani hapo hata ' Ukioa ' hakuna mafanikio na mtabwagana tu.
Na kama Wewe ni Mwanaume mwenzangu halafu labda una Demu wako ambaye ama amekuzidi Kimo ( Urefu ) au mnalingana nakushauri haraka sana achana nae na acha kupoteza muda wako Kwake kwani hapo hakuna Kitu bali mtafute Mwanamke ambaye unamzidi Urefu ( Kimo ) ndiyo mtadumu nae.
Watafiti siyo Mapopoma / Wapumbavu kusema hivi na hata Mimi GENTAMYCINE nakubaliana nao kwa 100% kwa sababu zangu ambazo nazijua mwenyewe ambazo siyo lazima nizianike / nizimwage hapa ila kama kuna ' Utafiti ' ulionikosha / ulionikuna basi ni huu.
Shikamooni ' Watafiti ' wote duniani.
Nawasilisha.