Recent content by Ya kale dhahabu

  1. Y

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Na Naliona hili na ni tatizo hasa linaua jamii yetu
  2. Y

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Tumeshakosea sasa inatosha,mda wa kukimbizana na adui wetu kuweza kumshinda sio mda wa kutunishiana misuri huu tubadilike,tuibadili jamii yetu inawezekana na tutoe fikra mbaya zisizojenga kichwani mwetu tujaze zilizobora hat wanetu wakizisikia hazitaathiri malezi yao
  3. Y

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Yani maana yangu ni kwamba malezi yanamtegemea mama zaidi kuliko baba,mama akifeli kwenye malezi akiwa na tabia za hovyo usitegemee kupata mtoto mwenye maadili,lkn baba anaweza kuwa wa hovyo mtoto akatoka na maadili safi. Tambua kuwa mtoto mzuri ni wa baba na mtoto mbaya wa mama
  4. Y

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Nyinyi wazazi wa kileo mmekosea mkatolewa bikra basi jitahidini muwalee watoto wenu katika miiko itakayowaepusha Wewe umekosea imetolewa basi jitahidi kwa mwanao wa kike kumlea katika maadili na mume wake aikute hiyo bikra. Mbona hao wachache wanaweza kuzitunza na wanaume wenye bahati...
  5. Y

    Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

    Kama hajatulia ingekuwa ishatolewa na wahuni mapema tu
  6. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Labda njaa, sioni tukishinda mbele ya Liver huyo Benfica tu tuliambulia goli la papatu papatu. Yani Chelsea yetu kuna shida kubwa sana yani kuna mda unaona km imetulia na inaweza kushindana na timu yoyote ghafla inakushangaza inavyohangaika kupata ushindi hata kwa timu ndogo tu acha na hizo...
  7. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kocha wetu bado ameshindwa kabisa kuzifunga timu kubwa aisee,yani hata aikute mbovu vipi bado hana cha kuifanya
  8. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah,ila tushukuru tumeshinda,japo first half ilinivunja moyo
  9. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea inacheza mpira mbovu sana
  10. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    S Shukrani
  11. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wazee app gani nzuri ya kuangalia mpira msaada
  12. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mzee wa kujizima data huyo
  13. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kaumia au
  14. Y

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna kinachoshindikana
Back
Top Bottom