Mbona hawana kitu. Halafu wanawauzia attendees CDs na vitabu. Hawa sio waganga kweli. Mbona wanawaambia watu kuhusu mafanikio wakati wao hawana hata bilioni dolari. Halafu wanashauri watu wafanye mbinu hii na hii ili wafanikiwe wanawauzia CDs na vitabu. Huu in uganga huu
Sasa sheikh inakuwaje anashirikiana na wanamuziki tena. Ishu sio kuuza CDs za mawaidha hapo ila kujichumia pesa zinazoambatana na mizikimziziki. Mradi gani Hui. Tena unamshitaki ili akulipe maburungutu ya pesa eti kwakuwa anazo na unazungumza unadai eti in hakimiliki. Maneno ya Allah hayana Haki...
Ninaomba kujua kuhusu hilo wakuu.
Radio ni mojawapo ya biashara ambazo zinawafaa vijana kama wewe na mimi wandugu. Ninaomba unitafutie kampuni zinazofanya supply na kufunga vifaa na program scheduling za radio. Nina mfadhili amenishauri nitafute hiyo gharama kwa hapa Tanzania.
This is breaking news. Job posts were out for the editors,presenters and producers. This is an independent media owner company formed years ago. At first it started with a weekly news publication Dira ya Mtanzania. I think there are Tanzanians who hustle and have great ideas in doing business.
Mungu ananiongelesha kwa sauti yake kila wakati. Naogopa hukumu zake na moto wake. Naisikia sauti ya mwanaume. Nimekua nikiandika hapa mkasema ni neurological issue.
He has the consolidative and cognitive power of giving heartfelt speeches in vernacular without glimpsely reading on paper. I think he is peculiar when using such intonation and by the way lets not be naughty to him as English is not in the rule between our countries that it should be utilized...
Amazing radio owned by the iconic Lady. Its none other than Lake FM owned by a woman. It is a second radio owned by a woman. Another radio owned by a lady is Mashujaa FM Lindi.
Tangu 2008 kuna sauti inaongea nami na kuumiza ubongo. Nimeiambia iniache ikakataa na kusema siwezi kukuacha kwani hatathubutu pia kuwafuata wenye pesa ambao wana maovu. Nimetolewa kafara mwenzenu. Nimemtag Lizaboni aniombee radhi kwa hii sauti.
Alikosea jambo na kuharibu kiungo chake cha mwili. Miaka miwili baadae akaanza kusikia sauti ya kiume iliyojitambulisha kama mungu ikimwongelesha na kumtesa kichwani! Anaomba mungu lakini haponi! Hata hivyo akiwa katika mazungumzo na watu endapo patatokea pa kumcheka mtu akicheka basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.