Je, Ni gharama kiasi gani kuanzisha FM Radio station ya kilometre 200?

Xperience

JF-Expert Member
Dec 8, 2012
278
51
Ninaomba kujua kuhusu hilo wakuu.

Radio ni mojawapo ya biashara ambazo zinawafaa vijana kama wewe na mimi wandugu. Ninaomba unitafutie kampuni zinazofanya supply na kufunga vifaa na program scheduling za radio. Nina mfadhili amenishauri nitafute hiyo gharama kwa hapa Tanzania.
 
ndewelo hujamsikia kitu gani hapo?angetaka pm angesema toka mwanzo..km unajiamini weka mambo hadharani kaka au hutaki kazi?
 
Ninaomba kujua kuhusu hilo wakuu.

Radio ni mojawapo ya biashara ambazo zinawafaa vijana kama wewe na mimi wandugu. Ninaomba unitafutie kampuni zinazofanya supply na kufunga vifaa na program scheduling za radio. Nina mfadhili amenishauri nitafute hiyo gharama kwa hapa Tanzania.

Karibu tukuhudumie

Tafadhali tembelea www.radiotz.com kwa maelezo na msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom