Eti inspirational speakers wa kibongo ni kama waganga

Xperience

JF-Expert Member
Dec 8, 2012
278
51
Mbona hawana kitu. Halafu wanawauzia attendees CDs na vitabu. Hawa sio waganga kweli. Mbona wanawaambia watu kuhusu mafanikio wakati wao hawana hata bilioni dolari. Halafu wanashauri watu wafanye mbinu hii na hii ili wafanikiwe wanawauzia CDs na vitabu. Huu in uganga huu
 
Back
Top Bottom