Alikosea jambo na kuharibu kiungo chake cha mwili. Miaka miwili baadae akaanza kusikia sauti ya kiume iliyojitambulisha kama mungu ikimwongelesha na kumtesa kichwani! Anaomba mungu lakini haponi! Hata hivyo akiwa katika mazungumzo na watu endapo patatokea pa kumcheka mtu akicheka basi anaelekezewa fikra huko huko ili iwe kafanya dhambi kumcheka. Yaani anafanyishwa dhambi na hiyo sauti ijiitayo mungu.