Recent content by xman

  1. X

    JamiiForums Tanzania Goodluck Jonathan atashindwa uchaguzi Nigeria

    Kwa jinsi viongozi wetu wengi wa nchi za kiafrika walivyokubuhu katika wizi wa kura,hilo la goodluck kushindwa naliona kama sio rahisi kiviiile... Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  2. X

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Azam t.v vipi jamani? Real madrid t.v mliyoileta/ kuiongeza kwangu inaandika access denied, je, tatizo hili ni kwangu tu ama na watumiaji wengine wa azam t.v? Kama ndio, mtalitatua vipi ili sisi wapenda mpira tupate burudani,
  3. X

    JamiiForums Tanzania Kisa hiki kimetokea juzi naombeni ushauri

    Kusoma hujui, ata picha uoni? Hakutaki huyo mzee, jiongezee
  4. X

    JamiiForums Tanzania Televisheni Zetu zijifunze kutoka Kenya: Zina ubora na ufanisi wa hali ya juu sana

    Aaaah,aaaaah,aaaah, wenyewe wakikusikia
  5. X

    JamiiForums Tanzania Sleeping with Your Phone on at Night leads to Obesity - Research

    Mmmh,mmmmh, yashakuwa haya tena ya kupata unene uliopitiliza kwa kusababishwa na mwanga wa cm, hii hatari sanaaaa
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Isidingo haiwezi kwisha kwa mantiki ya kuwa wachoonesha ni maisha ya kila siku na changamoto, watu, tabia na mengineyo yaliyopo katika maisha ya uhalisia, kama ni mfwatiliaji wa Muda mrefu utaona kuwa ni tamthilia ambayo ina akisi maisha ya kila siku ya mwanadamu na changamoto zake. N.B...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Echolima vipi muendelezo wa hii historia ya vita vya kagera? Na vipi umefanikiwa kutengeneza kitabu kama ulivyosema?
  8. X

    JamiiForums Tanzania Bangi ni Noma!!! Ona hii

    Aaah,aaah,aaah,bangi hizo
  9. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Katika level gani? Umekuwa general sana ndugu
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mtoto afungiwa chumbani miaka 9

    Yani kuna watu ni wakatili mpaka basi, kumfungia mtoto miaka tisa ni unyama wa hali ya juuu..... Huyo mama alaaniwe
  11. X

    JamiiForums Tanzania Msaada

    toa details zote za kesi, mfano kesi ilihusu nini, parties applicant alikuwa nani? Na any other details which may seem relevant
  12. X

    JamiiForums Tanzania Nani ana ufahamu namna ya kupata toefl hapa tanzania

    kama mdau alivyokwambia hapo nenda british council
  13. X

    JamiiForums Tanzania Amiri Jeshi Mkuu mlemavu wa miguu

    Cha msingi kama ulemavu wake haumzuii kufanya shughuli za rais kama kiongozi wa nchi na amiri jeshi mkuu then anaweza kukagua gwaride la jeshi kwa wheel chair
  14. X

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Hotuba za Rais Mkapa

    vipo mkuki na nyota publishers, wanabookstore yao, ukiwatrace hao utakipata.
Back
Top Bottom