Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Wamekazana na local leagues badala ya kuingiza hata uefa ama EPL kazi kujaza stations za wahindi tu,psmoja na recruitment yoote hapo Adam bado wanaperform at 0 level
 
Wamekazana na local leagues badala ya kuingiza hata uefa ama EPL kazi kujaza stations za wahindi tu,psmoja na recruitment yoote hapo Azam bado wanaperform at 0 level
 
Azam t.v vipi jamani? Real madrid t.v mliyoileta/ kuiongeza kwangu inaandika access denied, je, tatizo hili ni kwangu tu ama na watumiaji wengine wa azam t.v? Kama ndio, mtalitatua vipi ili sisi wapenda mpira tupate burudani,
 
wameongeza na liverpoll tv lakin tatizo ni lile lile access denied!
 
Huu uzi umenielimisha Sana! Thanks wote mliochangia Na kuuliza hiki na kile, nimeongeza chanels. Ila Rodriguez haina picha wala sauti
 
sikudharau ila ndio ukweli kua hauna uwezo wa kununua satelite.

Kwenye fani hii mimi naona chenga tu mkuu,na kwenye khs hv ving'amuzi tunavyoweza kuvimiliki kwa ss wa hali ya chini kwa bongo nishanunua easy tv,startime,continental na vyote havijanifurahisha,nilikuwa na wazo wa kununua azam tv lkn kutokana na maoni ya wadau wengi humu nimeona ni km jamii ile ile ya ving'amuzi vingine,naomba kwa uelewa wako unieleweshe khs haya maujanja mnayoyadadavua ktk huu uzi
 
0765 42 99 14
 
Kwa kifupi azam tv is the future, kadri siku zinavyoenda wanaimprove vitu sio kama kampuni zingine. Bakhresa si unamjua.....
 
Msaada wakuu! Nimefanikiwa kuingiza satellite na frequencies, zimeongezeka Channels kadhaa kwenye Azam "dikoda ". Hasa nilipenda kupata Rodriguez, imeingia, ila haina picha wala sauti! Nirekebishe nini ionekane? Natanguliza shukrani
 
hata mm nami nina tatizo hlo hlo la rodriguz haitoi saut wala kuonyesha yan iko plane tuuu mwenye ujuz wwote kuusu ujuzi huu atudadvulie
 
Back
Top Bottom