Kitabu: Hotuba za Rais Mkapa

Kitabu: Hotuba za Rais Mkapa

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
241
Habari..!!

Hivi karibuni, Rais mstaafu Ben Mkapa alizindua Kitabu chake kilichobeba hotuba zake alizozitoa kipindi akiwa Rais (2005-2010).

Kwa anayefahamu, wapi kitabu hicho kinauzwa tunaomba atujulishe. Bei pia usisahau
 
kwani kina tija gani juu ya nchi yetu...?????
 
aaaaahhh!!! kitabu cha hotuba? hivi hawa jamaa hawawezi kuandika vitabu kama alivyofanya Nyerere? eti kitabu hotuba hizi hotuba si zinapatikana kwenye website ya ikulu?
 
Mmezoezwa kusoma utumbo kwenye majarida,na magazeti uchwara,ndo maana huoni faida ya hizo hotuba,ila ungeambiwa msanii fulani azindua kitabu chenye stayle za kufanya ngono ungeandamana kukitafuta-tope kabisa .
 
Rai kwa Nkapa aandike kitabu kwenye mada changamoto kama diplomasia ya uchumi , soko huria kusini jangwa sahAra, sadcc na soko lake kwa bidhaa zake hivyo please atupanue mawazo kwa uzoefu wake
 
vipo mkuki na nyota publishers, wanabookstore yao, ukiwatrace hao utakipata.
 
Mmezoezwa kusoma utumbo kwenye majarida,na magazeti uchwara,ndo maana huoni faida ya hizo hotuba,ila ungeambiwa msanii fulani azindua kitabu chenye stayle za kufanya ngono ungeandamana kukitafuta-tope kabisa .
CHIGANGA..I salute you
 
Ningependa kupata hotuba zilizokuwa zinatolewa na aliyekuwa rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania (1995-2005) kila ilipokuwa mwisho wa mwezi.
Siku Ben alipokuwa akihutubia taifa watu wangi walikuwa hawakai mbali na vituo vya runinga kusikiliza atakayosema,
Hotuba zake zilikuwa na mvuto na hazichoshi,
Hakika miye nimesimizi hotuba hizo.
Hotuba ambayo ningependa kuisikiliza zaidi ni ile aliyoitoa mara baada ya yale mauaji ya Januari 2000 huko kisiwani Pemba. Hiyo alikuja kuitoa baada ya mahojiano haya hapa na mwaandishi wa Bbc
MKAPA ON THE OUTCOME OF THE ZANZIBAR ELECTIONS OF 2000 WITH BBC
Nitashukuru kwa msaada
 
Back
Top Bottom