2013...naingia chuo..nakutana na boom....pesa nyingi ambayo sikuwahi kiishika kabla ya hapo....kwa mara ya kwanza akaunti yangu ikasoma 800,000/=....ukiongeza na vijisenti nilivyokuwa natafuta baada ya kumaliza form six akaunti ikasoma kama 1.2mil.....daaaaa.....nikaona sio mbaya nikianza...
Wakuu amani iwe nanyi....
Namshukuru MUNGU hali yangu sio mbaya japo nilikuwa naumwa tangu Jana...kutokana na hali yangu ilivyokuwa Leo niliamua kitembelea hospital fulan hapa Morogoro mjini ili niweze kirekebisha afya yangu..kilichonishangaza ni kumkuta dactari muhusika kwenye chumba jicho...
kama upo serious nipigie tuongee 0777409423...sio muhusika bt kuna ndugu yangu alikuwa anahitaji kazi za ndani..ana miaka 18 exactly kaishia form 2..uzoefu anao coz aliwah kuwa dada wa ndani huko moshi...uaminifu nakuhakikishia ni 100%...mimi nipo morogoro nasoma...so ni vizuri tukawaciliana ili...
na hizi ni rasha rasha TU...watu mnaokaa huko ccm kwa WOGA...woga MNAMUOGOPA NANI?? Mnaogopa DIKTETA? Anakwenda D.C. kila siku kudanganya kwamba kuna demokrasia Tanzania. Kama katika Chama chake mwenyewe ameshindwa kukiendesha kwa demokrasia ataweza kuruhusu Demokrasia kwa vyama vingine? i am...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.