Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

Usisome kwa minajili ya kuajiliwa , soma upate upeo so chagua ambayo utaipenda na kuifurahia bt Finance is the best kati ya hizo mbili,,,,,,,,,,, mi sio msomi sana ila IT you can stady as a option

....kwa maon yangu..naona kila coz iko poa, bt inategemea na channel...
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.

we sio kabwela....ni geneus fulani ivi...unajua mkuu....pokea likes 40000000000444
 
Nilishangwa sana na hilo ulizo lake maana dah nyinyi mabint mna mambo kweli...
Ukishajibu hayo ya Kabwela nakushauri soma unachopenda
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.

uko sawa kabisa , uyo anatuchora tu coz hakuna ukweli wowote kwa post yake
 
mm ni msichana wa miaka 19 nimemaliza form 6 mwaka huu nilisoma shule ya washichana Marian girls mchepuo wa PCM nikafanikiwa kuondoka na div 2.Tatizo linalo nikumba saiz nimechaguliwa chuo cha ifm lakini wameni select katika coz 2 (IT na banking &finance) natakiwa nichague coz moja kati ya hzo za kusoma.Moyoni naipenda sana banking bt wazaz wananilazimisha nisome IT kwakudai inalipa kwenye ajira.Waungwana naombeni mnipe msaada wa mwanga niweze japo kutetea future yangu mnanishauri nisome nn.

utakuta jitu lenyewe dume eeti anajifanya dem wa marian teh teh teh watu waongo
 
acheni kumponda..tumieni thinking kwa upande wa pili..ni kweli amekosea kama wazo la bwela alivyosema..lakini kwa upande mwingine ni kwamba..mada yake ipo indirect kwa sababu angewauliza direct msingemjib.ni hivi lengo lake ni kwamba,anataka kufahamu kati ya baf na IT ipi inasoko?na je kama akifanikiwa kuingia kwenye course mbili atafanyaje na je kuna uwezekano huo wa kuchaguliwa course mbili?pia binafsi niseme kwamba hajui na anahitaji kupewa ujuzi kidogo.DO'NT COME INTO CONCLUSION YA KUMKOSOA WANA GREAT THINKERS..labda niulize swali..je unajuaje kama matokeo yake aliconvert mwenyewe kwenda kwenye mfumo wa zamani ili aone alipata division gani?

JARIBUNI KUWA WATU VALUABLE KWAKE KAMA JF GREAT THINKERS NA SIO WATU WA SUCCESS KUJIBU KWA KUMKOSOA.
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.
acheni kumponda..tumieni thinking kwa upande wa pili..ni kweli amekosea kama wazo la bwela alivyosema..lakini kwa upande mwingine ni kwamba..mada yake ipo indirect kwa sababu angewauliza direct msingemjib.ni hivi lengo lake ni kwamba,anataka kufahamu kati ya baf na IT ipi inasoko?na je kama akifanikiwa kuingia kwenye course mbili atafanyaje na je kuna uwezekano huo wa kuchaguliwa course mbili?pia binafsi niseme kwamba hajui na anahitaji kupewa ujuzi kidogo.DO'NT COME INTO CONCLUSION YA KUMKOSOA WANA GREAT THINKERS..labda niulize swali..je unajuaje kama matokeo yake aliconvert mwenyewe kwenda kwenye mfumo wa zamani ili aone alipata division gani?

JARIBUNI KUWA WATU VALUABLE KWAKE KAMA JF GREAT THINKERS NA SIO WATU WA SUCCESS KUJIBU KWA KUMKOSOA.
 
ujue nimewaza kama ulivyowaza mkuu. hasa hapo kuchaguliwa coz mbili maana tcu haiwezi fanya upuuzi huo

acheni kumponda..tumieni thinking kwa upande wa pili..ni kweli amekosea kama wazo la bwela alivyosema..lakini kwa upande mwingine ni kwamba..mada yake ipo indirect kwa sababu angewauliza direct msingemjib.ni hivi lengo lake ni kwamba,anataka kufahamu kati ya baf na IT ipi inasoko?na je kama akifanikiwa kuingia kwenye course mbili atafanyaje na je kuna uwezekano huo wa kuchaguliwa course mbili?pia binafsi niseme kwamba hajui na anahitaji kupewa ujuzi kidogo.DO'NT COME INTO CONCLUSION YA KUMKOSOA WANA GREAT THINKERS..labda niulize swali..je unajuaje kama matokeo yake aliconvert mwenyewe kwenda kwenye mfumo wa zamani ili aone alipata division gani?

JARIBUNI KUWA WATU VALUABLE KWAKE KAMA JF GREAT THINKERS NA SIO WATU WA SUCCESS KUJIBU KWA KUMKOSOA.
 
division 2 ya mwaka huu na sio gpa?? course 2 katika chuo kimoja tcu wamekupangia?? unatudanganya waalimu wako.
 
kasome IT, maana hata hiyo kozi pia utafanya kazi benk, usisome hiyo koz ya benking, likibuma utashindwa kujiajiri, benk sikuhizi hata sociology anafanya kazi ya benk teller. asanten
 
hebu acha uongo.
1.matokeo ya mwaka huu hayako kwa mtindo wa division.
2.alafu hv tcu wameanza lini kumpangia mtu cozi mbili yeye achague moja???
HEBU TUANZE NA HAPO KWANZA.

distinction =div 1
merit =div II
credit =div III
tuje ktk kozi mimi mwenyewe nacte walinipangia kozi mbili, diploma in clinical medicine na diploma in pharmacy. lakini baadae wakaja kurekebisha wakaniwekea kozi moja tu.
vitu vingne sio vya kubisha mleta maada yupo sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom