Recent content by X.800

  1. X

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kitoweo Cha nyama sio Kwa mlalahoi Tena

    Victoria mkuu
  2. X

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kitoweo Cha nyama sio Kwa mlalahoi Tena

    Sio sangara, wale wanaitwa sangala
  3. X

    JamiiForums Tanzania Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Inawezekana but utapoteza muda mwingi refer mtoa mada, unless kujifunza iwe ni fulltime huna kazi nyengine.
  4. X

    JamiiForums Tanzania Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Programming ina depend zaid na personality ya mtu. ukiwa unaweza kukaa 8+ hours reading something mpk uelewe thats green light, u need to spend alot of time kujifunza how stuff works, na huwezi kufanikiwa ikiwa huna passion.Last thing jitahidi usome kwa mpangilio ili usipoteze muda, so u need...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part One)

    Nchi ngumu sana hii, lengo lao ukate tamaa kisha wakubeze vijana hawataki kazi.
  6. X

    JamiiForums Tanzania Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    Shida unaweza kukata moto kabla hujarudi kwa mungu, hapo mkuu unangia jehanamu huku unajiona.
  7. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Tumepanga harusi tuifanyie mwisho wa mwaka huu, tena iwe simple sana na ikiwezekana tusitumie zaid ya laki 2. Hakuna michango.
  8. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    buku 4 na siku nyengine tunashindia miogo na maji, ila binti kanielewa tunaishi kwa furaha.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nani huwa nyuzi zake zinakuvutia sana?

    Paula Paul huyu dada yuko positive sana, natamani nimuone.
  10. X

    JamiiForums Tanzania Natamani nichape kazi Sana lakini hali ya uvivu inaniijia

    Una nyota ya kuwa maskini mkuu huwezi kubadilika ndo basi tena, destiny will take u there.
  11. X

    JamiiForums Tanzania Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

    Hama hapo nyumbani, unakula na kulala bure kisha unajisifu unasave. Ningekuwa mm baba yko ningekutoa hapo nyumbani ukapambane
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa TRA lini?

    Huo si utabiri, ni kweli kuna watu washafykelewa mbali kwa reason ya certified copy
  13. X

    JamiiForums Tanzania DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    Nakupa pongezi mleta mada unaonekana una uzalendo wa nchi yako, hz ishu za upigaji ziko nyingi sana aisee, tusiwaone wajinga Korea na China wanaamua kutiana risasi kwa rushwa na ufisadi, sisi huku tunachekeana.
  14. X

    JamiiForums Tanzania Project gani ya IT naweza kufanya kwa mtaji wa 20M - 50M

    Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
Back
Top Bottom