Project gani ya IT naweza kufanya kwa mtaji wa 20M - 50M

Flowerpot

Member
Aug 30, 2021
25
75
Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube
Mimi naamini hamna developer ambae ha-google, hata wale seniors wenye miaka 10+ lazima kuna muda wanasahau syntax. Kwasababu binadamu sio robot eti utakumbuka kila kitu. Na kwenye programming mimi naamini kukumbuka hapa natumia nini ni muhimu, kuliko kukariri code word by word. Kwahiyo usikatishe wengine tamaa wakahisi wapo less kwa kutokukumbuka kila kitu.
 
X.800

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
244
250

Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
 
Flowerpot

Member
Aug 30, 2021
25
75
Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
Hii☝️. Umeongea facts tupu mkuu.
 
TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
470
500
Hii dhana ya kukariri code basi ww ni programmer mzuri inawapoteza watu wengi sana, solving problemz skill ni key katika programming, syntax unacheki katika docs ya language/framework husika na ukitumia mara kwa mara unakumbuka.
Yes. Problem-solving skills ni central, mathematical aptitude, logic, uwezo wa kuconnect dots na ability to think strategically.

Na ili kupima uwezo wako wa kuprogram, fikia point ya kuweza kuelewa codes za wengine.
 
Calvin Amon

New Member
Jun 30, 2021
3
45
Kwa experience yangu kwa huo mtaji wako inaweza ikawa ivi ( ikiwa idea yako ita base kwenye ku code ios na android app pamaja na website kwa ajili ya vitu kama api)

Timeline:

Kwenye IOS na Android
- ita include app design, implementation na programming

Kwenye website
- ita include technical specification [ hapa mostly ni uchaguzi wa programming language, na backend pamoja frontend framework. Pia uchazuzi wa storage labda amazon au microsoft]. Labda kuna third party api utatumia etc

Team:
Hapi unaweza ukatoa ajira kwa
1 (mtu mmoja wa) : UI/UX designed
1-2 (mtu mmoja au wawili) : android development
1-2 (mtu mmoja au wawili) : ios development
1 (mtu mmoja wa) : kwenye website backend
1 (mtu mmoja wa) : quality check, wa kutest izo app na website kabla hazijawa public
1 (mtu mmoja wa) : project manager
(unaweza ukawa wewe tu hapa, ukawasimamia hao vijana)

Project flow.
Hapa inategemea na jinsi iyo idea itavyokuwa complex kwenye development.

1. kwenye planing stage
-hapa mnaweza ku spend wiki 1 hadi 2

2. Kwenye design stage
- hapa mnaweza kutumia 2 hadi 3 ivi

3. Kwenye development
-hapa mnaweza tumia wiki 12 - 15

4. Kwenye testing
-kama wiki 1 au 2 zinayosha

5. Release (demo)
- wiki itatatosha kabisa, demo kwa watu nje ya office yetu ili mpate maoni ya system

6. Post Release
- mkisha jirizisha mnaweza ku zima demo mkaendelea na biashara

Kwa kumalizia kama nilivo sema idea complexity ndo inaweza ku extend mda wa development au kuufupisha

Simple app inaweza chukua miezi 2

Medium app inaweza chukua miezi 3 - 5

Kama ni complex sana na IT wako ndo wale wa ku google na youtube inaweza kuchukua miezi 6 hadi 18 na mtaji unaweza ukakata

Kwa idea unazoweza kufanya kwa haraka haraka
1. Labda utenfeneze ecommerce kwa ajili ya vyuo vikuu. Labda mm nasoma mzumbe nikipost product zangu wanafunzi wa mzumbe tu ndo wanaona au vyuo vyote vya morogoro. Mwanafunzi aone product kulingana na eneo alilopo
2. Nyingine mm nishachoka kulipa nauli ya bajaji na bodoboda kwa cash lbadaa utegeneza app kwa ajili ya ku accept payment kwa madereva

3. Kwenye utalii labda ufanye kama ile tourbylocal mtu aweze ku book local guide akuonyeshe vivutio

4. Au tengeneza api za kuaccept payment kwenye website mbalimbali. Kama mm na website mataka ni accept labda mpesa kwenye malipo na jiconnect na api yako inanisaidia kwa hapo
We jamaa huwezi amini ni kias gan umenifungua akili juu ya my new project ninayo tarajia kuianza it's the next big thing believe me.. naskuru sana brother
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom