Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa,

Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa za kutosha basi ni lazima utoke Nje ya mfumo kidogo then ukishavuna unarudi ndani ya mfumo.

Ni lazima uvunje sheria ili kupata pesa, mfumo umeundwa ili kukuweka uwe masikini maisha yako yote na Sheria zinatungwa na matajiri ili kupata utajiri zaidi....Sounds wrong, but so right.

Matajiri wengi wamevuna pesa nje ya mfumo, na baada ya Kuvuna wamerudi ndani ya mfumo, Yani ni kama vile wote tunaenda Morogoro lakini foleni ni kubwa vibaya mno so uamuzi ni wako, upite na Service road uwahi kufika au ubaki Main road uchelewe au usifike kabsa

Na kumbuka anaepita Service road Kuna mawili, akutane na Police mbele huko au Asikutane nae kabisa na hata kama akikutana nae atajua jinsi ya kuchezesha then anarudi highway akiwa kashafika Moro

Caution[emoji3544]

Kuwa Makini na uvunjaji wa sheria utakaoufanya, Sababu Kuvunja sheria ni rahisi kusema au kufanya lakini swali ni kwamba utaweza kukabiliana na matokeo?

Wakina Messi wanakwepa makodi kwenye ma nchi ya watu na badae wanajua jinsi ya kuchezesha,...hiyo ndio Kuvunja sheria na kukabiliana na matokeo, lakini mwisho wa siku kibunda kiko Bank, lakini pia ukivunja sheria in smart way mbona una peta tu

Nasisitiza tena, kuwa Makini, usichukue hatua za kimihemko mara baada ya kusoma huu Uzi, ni lazima udhamilie kweli kweliView attachment 2270690
Wewe upo sawa na dewj. Maana umeyajua yakukuvusha
 
You motivate me bro
IMG_20220624_162827.jpg
 
Kutoka nje ya mfumo sio kuvunja sheria na taratibu pekee!
Ili ufanikiwe unahitaji kuvunja sheria za Mungu kwa muda then unarudi.

Aisee kufanikiwa bila ushirikina ni kama kuweka simu chaji bila umeme! Wengi watakuambia muweke Mungu mbele

Kama unataka chochote kwa mungu basi kuwa nae karibu sana ila kama ni muovu na unataka msaada itachukua muda
Ila kama ni muovu tafuta njia za uovu

Vunja sheria kwa muda then rudi kwenye mstari.
 
Shida unaweza kukata moto kabla hujarudi kwa mungu, hapo mkuu unangia jehanamu huku unajiona.
 
Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa,

Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa za kutosha basi ni lazima utoke Nje ya mfumo kidogo then ukishavuna unarudi ndani ya mfumo.

Ni lazima uvunje sheria ili kupata pesa, mfumo umeundwa ili kukuweka uwe masikini maisha yako yote na Sheria zinatungwa na matajiri ili kupata utajiri zaidi....Sounds wrong, but so right.

Matajiri wengi wamevuna pesa nje ya mfumo, na baada ya Kuvuna wamerudi ndani ya mfumo, Yani ni kama vile wote tunaenda Morogoro lakini foleni ni kubwa vibaya mno so uamuzi ni wako, upite na Service road uwahi kufika au ubaki Main road uchelewe au usifike kabsa

Na kumbuka anaepita Service road Kuna mawili, akutane na Police mbele huko au Asikutane nae kabisa na hata kama akikutana nae atajua jinsi ya kuchezesha then anarudi highway akiwa kashafika Moro

Caution[emoji3544]

Kuwa Makini na uvunjaji wa sheria utakaoufanya, Sababu Kuvunja sheria ni rahisi kusema au kufanya lakini swali ni kwamba utaweza kukabiliana na matokeo?

Wakina Messi wanakwepa makodi kwenye ma nchi ya watu na badae wanajua jinsi ya kuchezesha,...hiyo ndio Kuvunja sheria na kukabiliana na matokeo, lakini mwisho wa siku kibunda kiko Bank, lakini pia ukivunja sheria in smart way mbona una peta tu

Nasisitiza tena, kuwa Makini, usichukue hatua za kimihemko mara baada ya kusoma huu Uzi, ni lazima udhamilie kweli kweliView attachment 2270690
sijasoma contents but this is tru 100%. you have to do against 95% of others what are doing. kingine uwe mvunjaji wa sheria
 
Naona wa duniani mnahamasishana kumkosea Mungu Muumba. Hamjui mwanzilishi wa sheria ni Mungu Mwenye enzi? Unatenda dhambi unaiba unatajirika, ndani ya siku mbili tatu unavamiwa na majambazi wanakupiga risasi wanakuua wanachukia mali zote kisha wewe unaenda kuzimu kwa shetani kusubiri kuungua moto wa mllelele na ibilisi, inakuwa imekusaidia nini.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Duniani utaishi kwa umasikini yaani masikini motoni utaenda kwa uzinzi unafki kusengenya na kudhurumu.

Ila sisi tutaishi duniani kwa raha kama matajiri na tutarudi kwenye mfumo na kwenda peponi.

Endlea kujidanganya
 
Back
Top Bottom