Recent content by Wuzhou

  1. Wuzhou

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    Fanya biashara tu, yauzeee!! ukishindwa kuuza nunua solar pannel
  2. Wuzhou

    Ameniacha eti sijui ku-care

    Kwa maongezi hayo tuu inaonyesha hujui kucare
  3. Wuzhou

    Nimepata Muujiza Mkubwa sana katika Mahusiano yangu...Nashukuru

    Hahaaaa makanisan na misikitin kila MTU anapita mbele anashukuru Mungu kwa kumpata wa ubavu wake kama malaika. tunashukuru we ushuhuda wako umeleta JamiiForums ,kwa hio sio ajabu.Hongera mkuu
  4. Wuzhou

    Mpenzi wangu kanicheat mara mbili na wanaume wawili tofauti, Inaniuma sana

    kumbe we ni boyfriend tuuu peleka mali uone kama hata kituliza bado yupo kwenye uchaguzi bwana
  5. Wuzhou

    Hivi kwanini wanawake wanakuwa waongo ivi?

    khaaaaaaaaaaa kiumbe huyo kakudanganya unasema wanawake waongo we nawe si umkatae kimya kimya mpaka ujumlishe wote khaa amekwambia haridhiki??????? labda hisia tu kwako
  6. Wuzhou

    Kina dada: Kuridhika kitandani ni jukumu lenu na sio la wanaume pekee kuwaridhisha

    hahaaaaaaaa akukwaze ulietoka nae alivyokua kama gogo unakuja kusema si jukumu lako kumrifhisha k wenzio wanafanya vyooooooooote .mchezo unakua drooo kama unawaza kuhonga utaibiwa sana
  7. Wuzhou

    Umeoa mke wako mnaonana kila baada ya mwezi au na kuendelea, huyo ni mke au mchepuko?

    huyu nae nauhakika hajaoa anaimagine magine tuuuuuuu khaaaaaa usioe mfanyakazi oa mama wa nyumbani
  8. Wuzhou

    Aliniacha akaolewa lakini sasa anataka mazoea

    mpaka useme weweeee kuna mbinu nyingi za kumkaushia vunga basi
  9. Wuzhou

    Kwanini Wanawake Wajawazito siku ya Kusikia uchungu wa Kujifungua huwa hawaoni aibu kubaki Utupu?

    weee moto ukikanyaga hua unaona aibu kuurusharusha mguuu bila usitaarabu????????
  10. Wuzhou

    Mbinu ya kumfunga kamba mpenzi wako milele asikuache

    hata mimi cjaelewa kabisaaaaaaa bora wenzangu mmepata hata point ya utabiri mm khaaa gizaaaaaaaa
  11. Wuzhou

    Tahadhari: Wanawake kuweni makini.

    anaekwambia ujipige picha ukiwa uchi cjui blaa blaaa za utupu hakupendi katu anakutamani
  12. Wuzhou

    Ukitaka kujua mkeo ni mchepukaji, angalia hizi tabia

    mlikua mnachepuka enyi wanaume toka enz za mababu.sasa wanawake wamepunguza kids kwa BP kufanya ngoma drooo mnaliaaaaaaaaa vibaya muno na wao wa mioyo sio mawe kifuani
  13. Wuzhou

    Walimu tumepigwa kwenye ziara hii ya Zuma

    samahan mtoa mada kama ww ni mwalim mm ni mwalim mwenzio khaaa umeandika kama unaharaka ya kumpokea zuma khaaa hakuna mpangilio kueleweka hii maada yako inahitaji nguvu ya ziada ukiwa kibashite bashite unaweza hoji tena hebu anza polepole zuma ana wenyewe bwana
  14. Wuzhou

    Nimepata Mpenzi ila mh..! Ushauri wenu wakuu

    achana nae mwanaume atakusumbua huyo hata ndoani kama mapema hivi kipyenga kimelia jee akishakubanjua vya kutosha uwiiiii atakua haachi hata mia .si akope mwenyewe kama ana uhakika wa kulipa .atakuja wako mama ucpanic kwa vile hujaolewa na x wako subiri kwanza
Back
Top Bottom