Hivi kwanini wanawake wanakuwa waongo ivi?

Hivi kwanini wanawake wanakuwa waongo ivi?

Habari wakuu,


Ilianza kunitokea siku nyinyi tu, ila sasa imezidi, wakati nipo primary hadi sekondari mabinti walitokea kunipenda sana na kunikubali sana. Hadi inafikia muda anakutamkia waziwazi kwamba kashafeel kwako. Nikawa nachukulia ni utoto + ujana unawasumpua nikawa siwakubalii wanachotaka kutoka kwangu. Dini ilikuwa inanisaidia sana kwa kufanya dhambi ya uzinifu hadi leo nachukia sana. Sasa akili imekomaa lakini yale mambo bado nakabiliana nayo kitaa tu, mwanamke anakujia kwa kukutaka, unamuuliza umeolewa anakwambia bado au hata kama nimeolewa kwani kunatatizo gani?, unamwambia sasa alichonacho mumewee mbona hata mimi ndo hicho hicho ninacho!, anakuwa hata hakuelewi, unamwambia mbona mungu hapendi hichi kitu lakini, mtihani wakukuelewa.

Hebu tiririkeni ni kwanini hawa viumbe wanakuwa waongo na kutoridhika na waume zao.

Vizuri endelea kuitunza hiyo bikra.
 
khaaaaaaaaaaa kiumbe huyo kakudanganya unasema wanawake waongo we nawe si umkatae kimya kimya mpaka ujumlishe wote khaa amekwambia haridhiki??????? labda hisia tu kwako
 
Hata mi nashangaaga kabisa mwanaume anasema et yeye hajawai akat kashatumia wee imebak kipisi kama cha fegi! Yani uongo mpaka shetan ansema cjamwambia mm
 
Hata wewe unaonekana ni muongo ,et wanakufuata kisha unawambia mbona dini hairuhusu
 
Back
Top Bottom