Kwa mtazama wako hutakosea. Kama unaona ni sahihi sawa tu. Lkn ukweli ndio huo!So kutokana na majibu yako 60% ya care tunayotakiwa kuwapa nyie wanawake ni "money". Na 60% ya care mnayotakiwa kutupa sisi wanaume ni "sex". Nikiwaita wanawake prostitutes, au nikikuita wewe prostitute nitakuwa nimekosea? demi