Recent content by woyo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Je,umri mkubwa ni kigezo cha kupata ajira ya afya na ualimu?

    Sio kweli. Kama uko competent unatoboa. Binafsi nilihitimu 2012 Ajira portal nikajiunga 2018 2019 kazi zikatangazwa taasisi mbili tofauti kote nikaomba, nikaitwa kote Kwa mara ya kwanza kufanya usail ajira portal from written, practical Hadi oral zote nikpata Mimi ndio nikaanza kuchangua wapi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya vyuoni vs Maisha ya mtaani

    ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa
  3. W

    JamiiForums Tanzania SUA first year students tukutane hapa

    je coz ya irrigation & water resource eng, vigezo vkoje?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Hahahaha ha ha vip umetembea uchi?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo ninaweza kusoma shahada ya Education na kompyuta

    Njoo SUA inaitwa BSc.eduction(informatics & mathematics). Me ndo nko nayo mkuu, igawa CODE znasumbua sana hadi kero
  6. W

    JamiiForums Tanzania Fani ambazo ni adimu sana Tanzania

    Artificial intelligence. yupo mmoja tu , anapatkana pale SUA. wanamwita busagala
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hesabu ya maajabu: Nini uhusiano na namba za simu au Namba yoyote inaweza kutoa jibu?

    2016-1766=250. datail unazotoa mwanzon znaitengeneza hiyo so n sawa na kuchuka 2016-mwaka wa kuzaliwa.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    Asante bro for advice, nijipange sawasawa hadi kieleweke
  9. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta possible za NECTA

    Nilifikiri ni wewe, tunamtaka mhanga ndo tumsaidie
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    Asante kaka nawe Mungu awe nawe upate kitakachokufaa
  11. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa umuhimu wa Computer programming

    katika secta yako, itakwezesha kutegneza mfumo wa upangaji wa matokeo ya wanafunzi, student registration system bt waweza tengeneza pia online ticket system za mabas ukawauzia wamiliki. yapo meng bt jthd ufaham c++,php, java programming na zingine
  12. W

  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo diploma clinical medicine vs ualimu

    Pole sana ndugu yangu jamaa ameanza tena mtindo wa kupeana 0 za quiz, me mwenyewe quiz 3 zote na zero. Nakushauri omba na afya, ukipata zote nenda ualim pako vizuri
  14. W

    JamiiForums Tanzania Jamani post za walimu zinatoka lini?

    Hiyo ilikuwa ya uongo, ya mwaka jana
  15. W

    JamiiForums Tanzania Je kuna combination zimefutwa kidato cha Sita?

    ha ha ha bora umesema
Back
Top Bottom