Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Hii ramli imesoma vizuri sana
yaani leo nimecheka sana mkuu ...dunia ina mambo etiDuh hii sredi watu waliweka miadi lukuki Hahaaaaaaaa
Ha ha ha haaa, ndo hivi wanasemaga.Vp umesha kojoa?
One of the best forecast moments ever happened....Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
mhh mm napita tu
Au na huyu kafanywa kondoo wa kafara?Ndugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Jamaa alitabiri, kuna manabii nchini!Mbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
Hahahaha ha ha vip umetembea uchi?Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
Duh...., watu mna maono yani ni hatareeNdugu zangu, mhe Rais amejipambanua kuwa atateua watu ambao ni wachapa kazi katika baraza lake la mawaziri. Naomba niwafahamishe tena kwa uhakika kuwa Charles Kitwanga aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni mndani (msiri) wa mhe Rais.
Kitwanga alikwishaanza kujisifu kuwa atakuwa waziri wa wizara nyeti mapema kabisa na ushahidi upo. Lakini la pekee kubwa ni kuwa ni mtu asiyekuwa na rekodi ya utendaji wa kuwa waziri wa mambo ya ndani amepewa wizara hiyo sababu ya nepotism.
Muda utaamua na ni vema watanzania muelewe hata mhe Rais Magufuli na yeye pia kashindwa kuficha urafiki wa mtandao wake kinyume na kampeni zake.
Kitwanga atakuwa waziri wa kwanza kufukuzwa na bunge, ni suala la muda tu.
Umesemaje?Mbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..
Eti atakuwa Waziri wa kwanza kufukuzwa na Bunge...Mbona hakufukuzwa na Bunge kipindi cha Awamu ya 4?
YametimiaMbona amekuwa Waziri tangu serikali ya awamu ya 4?...Ama nako alikuwa msiri wa JK?..