mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
😀😀😀Maisha ya Chuoni ni kwamba ukiwa kule unakuwa una sabuni ya kuogea na naya kufulia lakini ukirudi mtaani sabuni ya kufulia ndio hiyo hiyo ya kuogea
😀😀😀Maisha ya Chuoni ni kwamba ukiwa kule unakuwa una sabuni ya kuogea na naya kufulia lakini ukirudi mtaani sabuni ya kufulia ndio hiyo hiyo ya kuogea
Fanya vyoteda sawa .ila tatizo ni kwamba mtu kama mimi nmejiajili ila nataka hata niende chuo sasa naofia kutoka alafu biashara zangu zikakwama sahizi niko dillema nisome kwanza au nifanye biashara kwanza?
HUO NDIO UMASKIN WAKO. NAJUA NIMEKUFUSA. ENDELEA NA HIZO STAREHE UTAKUWA MASIKIN MPAKA BASIIIIII
eti huyu nae msomi upuuzi huu
kweli wew ni mtoto wa kiume unasema hivyo.labda lama ni binti sawa fanya starehe za kutosha tu lakni mwanaume unasema hivyo du mbona hata mke watakutunzia wenye hela zao.
Ndio maana kumbe bado umeleweshwa na boom la chuo! boom limekufanya kuwa mjinga. HUKU MTAANI HAPASOMEKI SHAURI AKO.Asante kwa utabiri, pesa inatafutwa mkuu. Don't get twisted. Mi sisomei kubana matumizi, natumia hizi zilizopo na nikimaliza chuo nitatafuta pesa nyingi nyingine. Tumia pesa ikuzoee.
Ndio maana kumbe bado umeleweshwa na boom la chuo! boom limekufanya kuwa mjinga. HUKU MTAANI HAPASOMEKI SHAURI AKO.
upuuzi huu. utakuwa maskin kwa ubishi usio na msingi
ha ha ha haaaaaaaaaaaaaMaisha ya Chuoni ni kwamba ukiwa kule unakuwa una sabuni ya kuogea na naya kufulia lakini ukirudi mtaani sabuni ya kufulia ndio hiyo hiyo ya kuogea