Recent content by Wonderful

  1. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Je, ile project ya pale Tazara ni fly over(barabara za juu) ama ni daraja?

    Flyover=barabara ya juu!!
  2. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Je, ile project ya pale Tazara ni fly over(barabara za juu) ama ni daraja?

    Binafsi ingawa sijawahi fika mitaa hiyo ila kwa kauli ya mkuu wa nchi hiyo ni flyover!!labda kama walibadirisha baadae.
  3. Wonderful

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

    Inategemea "ntu" na "ntu"
  4. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji uyoga

    Naupenda sana uyoga but nauogopa,maana kuna mwingine una sumu
  5. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Nawashwa na vipele vidogo mwilini

    Dah!!basi mie nikajua sijui unawashwa nini....!
  6. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Shubamittt!! Wazungu wanakuna vichwa kwenda angani sisi tunakesha nje kunywa uji wa muhogo
  7. Wonderful

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zifamu nyakati kuu 5 ambazo wanaume huchepuka kwa wingi

    Umeniwahi
  8. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Inategemea unataka kwenda kufanya inshu gani bondeni..kuwa wazi tukusaidie.
  9. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI

    Huyo jamaa nilikutana nae Temeke juzi akaniambie yeye ni mkuu wa mkoa alo...!
  10. Wonderful

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu muigizaji N!xau maarufu kama Bushman

    Basi mie nikajuaga ni raia wa Chato aise..kumbe ata siyo..?!
Back
Top Bottom