Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Habari zenu wapendwa, naomben ushauri mwenye kujua hili, ni wiki ya pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vile vishilingi, vinawasha sana vinakaa kama siku 3 vinakauka vinaacha alama nyeusi vingine vinaibuka vipya ni mwili mzima mgongoni na tumboni ndio zaidi yani ni alama vishilingi sijui yani hata sielewi siku zinavyozidi kwenda naona vinaongezeka msaada jamani.

Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushauri.
Mapunye hayo. tafuta kibiriti upele changanya na mafuta ya nazi au mafuta ya mgando, jisafishe then pakaa sehemu husika.
 
65% inaweza kua kaswende but make sure unapima kwanza maabara

kama itakua ni kaswende dawa nzuri ni erythro..
Mbona nmesoma dalili za kaswende cna hata dalili moja my? Wanasema kaswende hv vipele vnatokea vidogodogo kweny viganja na nyanyo na baadhi mwilini ila haviwash na dalili zngne walizotaja cna hata moja
 
Hauna hiyo kitu bwana we endelea kudunda tu

Lukwafya
 
Back
Top Bottom