Naomba kusaidiwa gharama za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kutengeneza maji

D

DVC

Senior Member
Joined
Jan 11, 2019
Messages
137
Points
225
D

DVC

Senior Member
Joined Jan 11, 2019
137 225
Kwa wanaojua gharama halisi za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kiwanda cha kutengeneza maji anisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngafu.fijo

ngafu.fijo

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Messages
1,180
Points
2,000
ngafu.fijo

ngafu.fijo

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2015
1,180 2,000
Bei yake ni Millioni 480 tu
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
7,344
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
7,344 2,000
Nadhani changamoto nikupata eneo/jengo,mashine na vibali tu.
 
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
287
Points
250
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
287 250
mkuu kuna uzi mwingine wa kuhusu kiwanda cha maji.jaribu kuupitia ,kuna baadhi ya mambo nimechangia kule.LInk yake hii hapa


kuna tofauti kiasi kati ya mashine za juice na maji.Tofauti ni kwenye machine ya washing,filling and capping.Inaitwa 3-in-1.Utofauti wake ni kwenye juice ama tea inaitwa hot filling wakati upande wa maji sio hot filling.Lakini kama malengo ni kutengeneza fresh juce (pulp juice) unaweza pata machine ya 4-in-1.pia kama ni carbonated drinks kama coca,pepsi sprite nk ambazo zinakuwa za PET unaweza pata 3-in-1 machine na proces zingine zitakuwa ni kama za kutengeneza maji tu.
NB:SIFANYI KAZI KIWANDANI WALA SIUZI MASHINE HIZI,ILA NINAONGEA KWA UZOEFU WANGU WA MIAKA ZAIDI YA 5 KWAKUWA NIMEWANUNULIA WATU WENGI HIZIMASHINE TOKA HUKU NILIKO NA NIMEHUDHURIA TRAINING NYINGI ZA UFANYAJI KAZI WA MACHINE KABLA SIJA SHIP KWENDA KWA MUHUSIKA.
 
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
287
Points
250
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
287 250
Hizi ni baadhi ya kazi nilizozikagua kabla sija fanya shipment

 
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
287
Points
250
socrate jr

socrate jr

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
287 250
hizi ndizo machine za washing,filling and capping (3-in-1) na pia kuna 4-in-1) ya fresh juice.
Gharama ya complete set ya kiwanda cha maji ni kuanzia 50,000$ .Hii inategema components za capacity kiasi gani umechagua
I hope nimekusaidia kwa kiasi fulani.All the best
1-jpg.1204985
3-jpg.1204986
 
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
15,704
Points
2,000
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
15,704 2,000

Forum statistics

Threads 1,335,152
Members 512,245
Posts 32,497,314
Top