Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

...
Utampenda mtu ambae anampenda adui yako??

nikupe mfano. Mama ni malaya na baba anamchukia mama kwasbb ni malaya. Lakini mtoto wake anampenda sana mama kuliko baba na anamsikiliza sana mama. Unafkr baba atampenda mtoto.... itokee bahati mbaya mtoto akutwe kasimama na mwanaume... baba atajua mafundisho ya mama yameanza kufanya kazi.

Kataa kubali ila ukwel ndo huo.

Wanaume wengi akiona mwanamke haelewek huwa wanataka kuondoka na watoto wao na mama akae mbali ili asiwavuruge watoto.
 
Nini maoni yako juu ya hii mada?
maoni yangu natupia lawama kwa wanaume wasiojielewa
ninachojua mimi mtoto hahusiki kwenye chuki zenu so kama ukimchukia mzazi mwenzio hakikisha mwanao anapata matunzo yote. Kwa wanaume wanaojielewa watanielewa ninachomaanisha.
 
Aiseee mkuu unaonekana umeguswa,pole ila mtoto sio lazima afanane na wazazi kila kitu anaeza chukua baadhi ya vitu kwa wazazi na vingine akajitegemea pia kumchukia sio suluhisho,nina mashaka na uelewa wako kwa ulichoandika ila ndo hivyo mtoto sio lazima mtoto ufanane nae ndo ujidhihirishe kuwa ni wako hata mke na mume wakikaa pamoja mda mrefu hufanana..
Ni mambo ambayo uswahilin yapo sana,
Wewe unamwambia mwanaume "kama huwezi kulea wanaume wenzako watakusaidia kulea" unafikiri hata kama ulitamka kwa hasira atakuwa na hamu ya mtoto tena.
 
Basi nawe Malaya tu maana usingekua hvo usingedate na Malaya had kuruhusu preg inase,af issue ya mfanano mtto anaeza fanana na yeyote coz kila mtu na vile anafananisha,mwngne anaeza sema kafanana na mom ake mwngne akasema no hajafanana nae....so uhakika n DNA only hapa kuna za kimila n hosp hizo ndo znaumbuaa mtu,but n upuuz tu kuchukia mtoto na usitegemee yeye kuja kukupenda atakuchukia pia.
Nyie wanawake ndiyo huwa mnasababisha sana haya mambo kutokea kwa umalaya na majibu yenu ya kishujaa!
 
Back
Top Bottom