Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI

Mwendelezo Sehemu ya Pili.

GuDume, umetumia kiswahili cha kisasa.... ila imevutia kusoma.

usisahau kuja na muendelezo.
Umemwagia sifa kibao
Gegeda na ukuni ni kama kachumbari katika nyuzi za gudume! BTW Andiko lako ni zuri
"The future is exciting"
Ni tag pia ukiendelea

Naona Leo umepumzika kidogo kwa watoto wazuri
sio mchezo aisee
huo kweli niwizi wakiwango cha SGR
Wakati naanza kusoma, nlijua tu ntakutana na neno

Itaendelea....

Ongera, ni simuliz nzr, ila cjui wakati huo tecnologia ya kutambua fake haikuwepo? Anyway stay turned....
Gudume heshima kwako. You are one of a kind. Unaweza kutoa vitu nondo na pia kutoa chai. Wewe ni kati ya watu ninaoeakubali jf. Endelea kua bora
 
Jamaa aliibia hata banks za nchi nyingine si USA peke yake.alikuwa anazurura nchi nyingi sana kuwapiga pesa kwenye banks

Alisumbua dunia au hao ma•fbi??
 
Katika hali ya kawaida tu ulipaswa ujue hii siyo ajira.isipokuwa natumia muda wangu wa ziada kusoma na kuandika.kinyume na hapo nmeajiriwa so si rahisi kusema niandike mara moja na kumaliza. But kama unaweza naweza kukutumia kitabu unisaidie ndugu yangu.

hivi kuandika story au makala ni lazima iwe katika sehemu sehemu kwamba unaweka sehemu ya 1 leo then unakaa wiki tatu ndo uje kuweka ya pili??
 
Huyu anaweza kumshinda Victor Lusting yule tapeli aliyeuza mnara wa Efiel paris mara mbili..?
 
Hii story bana ukiisoma kuna sehem zinakuacha na mwaswali tena ya msingi kabisa mpaka unajiuliza how come! Nafikiri hii kama haijatafsiriwa na lufufu basi imepikwa kizembe mno!

Ukisoma Wikipedia hayo maswali hata wao wameyadoubt. Kuna mahali Frank anakiri kwamba kuna baadhi ya vitu mwandishi aliongeza chumvi kwenye matukio yake ya uhalifu.
 
Back
Top Bottom