Recent content by WomanOfSubstance

 1. WomanOfSubstance

  OMG!! Jasson Collins is GAY

  You have said it all! Watu wanafiki sana.Being gay inamhusu nn mtu? Leo nimeshuhudia watu wanazozana hadi kutaka kupigana kisa Barack Obama kaonyesha support to this gay guy. Nilishangaa kwamba his sexual orientation inawaongezea au kuwapunguzia nn. Isitoshe there are so many good gay people -...
 2. WomanOfSubstance

  Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla - Nairobi 03 April 2013

  Inaelekea hujui mengi ndugu. Wazazi hawakukatazwa wala kurubuniwa bali wenyewe walikataa wenyewe kwa sababu zao wenyewe, wakitaka marehemu azikwe TZ.MAREHEMU MWENYEWE aliandika WILL akielekeza azikwe pale atakapofia. Pili, Baba ni wakili mashuhuri wa siku nyingi, Mzee Juma Mawalla.Ilitegemewa...
 3. WomanOfSubstance

  MAHAKIMU wagonga mwamba

  Ni halali kabisa. Utaratibu ndio huo - Ikiwa umeajiriwa Jaji Mkuu anaweza kukuapisha tu ikiwa utapata barua ya kukuombea kwake kutoka kwa mwajiri wako. Mahakimu watapewa barua na mwajiri yupi ikiwa wao wako Judiciary? Hilo linawakumba wengi walio kwenye ajira na siyo wao tu. Wakiona wanautaka...
 4. WomanOfSubstance

  Majina ya uswahilini vs Masaki & Oysterbay

  FB na JF tofauti yake hasa ni ipi? Kwangu mimi zote ni social networks. Inategemea unaowasiliana nao ni watu wa namna gani.JF pia kuna watu wenye mambo ya kitoto kama ambavyo FB nako kuna watu wanawasiliana kwa mambo ya maana ikiwemo mitandao ya kibiashara na kuelimishana.
 5. WomanOfSubstance

  Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

  Ehee.... hapo kwenye bold hebu fafanua vizuri na uonyeshe wapi nimesema hayo maneno ndugu yangu.
 6. WomanOfSubstance

  Mh. Kikwete, Tundu hatafuti umaarufu wa kisiasa!

  but what is the bone of contention? Clarity - TECHNICALITIES ZA KISHERIA ZIMEMKUMBA THE LEARNED JUDGE LOL
 7. WomanOfSubstance

  Mh. Kikwete, Tundu hatafuti umaarufu wa kisiasa!

  Kumbe unashambuliwa Za10? Mi nikidhani watu wanajadili mantiki kwenye thread lol.
 8. WomanOfSubstance

  Wanawake na wanaume kutofautiana mwandiko,nini sababu.

  Mwandiko unaakisi personality ya mtu. Hata hivyo kuna miandiko ukiiona huwezi kujua huyu aliyeandika ni mwanamke au mwanaume. Waliosoma shule zenye kuumba mwandiko wa mwanafunzi utaona miandiko ya wasichana na wavulana inakua na mfanano kwa kiasi kikubwa. Ila kuna ile miandiko "classic" ya kike...
 9. WomanOfSubstance

  Edward Ngoyai Lowasa aka LAIGHWANAN aende IKULU au KEKO?

  Wananchi ndio watahukumu aende wapi, KEKO AU IKULU ifikapo 2015.
 10. WomanOfSubstance

  Mh. Kikwete, Tundu hatafuti umaarufu wa kisiasa!

  Ni kweli kabisa AshaDii. Ishu ya huyu judge ni more on "technicalities" ambazo zimewekwa na sheria zenyewe. Judge muhusika anayo 1st degree lakini siyo ya sheria. Kisha akasomea Masters ya Sheria ilhali ili uwe judge lazima uwe na degree yab kwanza ya sheria - LLB. Usomi wa huyu jaji hauna...
 11. WomanOfSubstance

  Waliobadilisha Maisha yangu....

  Michango ya kila JF member hunifikirisha sana - hata iwe issue ndogo vipi.Nawatambueni nyote kwa ujumla wenu. Hata hivyo sina budi kutambua kwa namna ya pekee wafuatao: AshaDii, Roulette, Mwanajamii1, - Hawa ni zaidi ya JF contributors maana ni marafiki wa "karibu" wanaoifanya JF kwangu iwe a...
 12. WomanOfSubstance

  Kujibizana na wakwe...kumewahi kukutokea ?

  Usipoangalia vizuri utageuka mwamuzi wa "sakata" la mama mkwe na mama mzazi. Always avoid hawa wamama wasikutanie kwako. Utaambulia laana.
 13. WomanOfSubstance

  Kujibizana na wakwe...kumewahi kukutokea ?

  Usikae kimya.Si kakuomba ruhusa akamuuguze mwanaye mwenyewe? Mwambie " sawa mama mkwe, haina shida hata kidogo.Basi mcukue tu maana naona utakua umenisaidia kwa kweli.Asante sana kwa msaada." Kama alikua anatafuta ugomvi na wewe, utakuwa umemmaliza kisayansi.
 14. WomanOfSubstance

  JF Members in their real pictures... LOL!

  TX MY DEAR Tutaongea chemba.
Top Bottom