Recent content by WilShila

  1. W

    Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Kwa hiyo paragraph ya mwisho mi nadhan ameshasema alichokuwa anasema
  2. W

    Mzungu ni nani?

    Baadhi yao wanajua kama wanaitwa wazungu hasa hasa wale waliopata nafasi ya kuishi na wabantu kama sisi huku East Africa. Kwa mfano mm nafanya kaz kwa wakaburu hapa GGM ila watu wanasemaga nafanya kaz kwa wazung na wao wanajua kabisaa kama tunawaita wao ni wazung na sometimes kwenye utan huwa...
  3. W

    Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii kufanyia kazi ripoti ya tume ya Waziri Nape

    Ni kweli mwenye mamlaka ya kuteua na kumtoa mkuu wa mkoa ni Rais. Ila pia tukumbuke Nape hakuunda tume ya kumvua makonda ukuu wa mkoa bali ni kuchunguza kile kitendo cha uvamivi na majibu ya tume ndo yatakayo tumika ama kumfungulia kesi ya uvamiz na matumiz mabaya ya madaraka au kuachana nae...
  4. W

    Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

    Nguvu za kike hazipo duniani.
  5. W

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Hapo ss yani nilikuwa nataka nikamtwange makofi jamma mmoja hiv namdai hela hapa jirani nikifikiri hawezi kushtaki mpaka serikali iamuee[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. W

    Wanaume muoeni huyu dada

    Mbona ameshaolewa mda mrefu tu, tena na mzungu.
  7. W

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Tanzania ina mambo...Manji kaenda jana na Gwajima halafu leo Mbowe ndo kagoma hadharani mbele ya wandishi wa habari kwamba haendi.
  8. W

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. W

    hivi ndivyo nilivyoikosa bikra na sijutii.

    Mbona unang'ang'ania alikuwa bikira wakati hata hukuiona hiyo bikira .....ndugu yangu nenda kwa psychiatrist.
  10. W

    nifumbueni tafadhali.

    You're not a bad influence at all..what has to be done gotta be done
  11. W

    Maajabu USA

    Si unge google tu...unajiuliza maswali mengi utadhan upo karne ya 19
  12. W

    Meet The World's Poorest President

    Uruguay sio maskini bali rais wake ndo maskini
  13. W

    Ushoga wa wanaume, Aisee unaisha vizuri.

    Mke wa John anaitwa nani?
Back
Top Bottom