dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Eh! kweli WE LAANA.
PRIVATE LAANA IKUSHUKIE kama ulivyotaka
Ingekuwa laana inatolewa kama pipi mbona tungekuwa vichaa wengi.Umedoda na laana yako ya maandishi.
Eh! kweli WE LAANA.
PRIVATE LAANA IKUSHUKIE kama ulivyotaka
Mambo ya Mungu hayo!! Anayebisha atuambie ni kwa nini hili Shimo litokee chumbani kwake tena akiwepo peke yake na si mahali pengine?? Mwacheni Mungu aitwe Mungu!!
Mungu asingiziwi ila yeye ndo mfanyaji wa kila kitu hata Yesu alisema hafany kwa mapenz yake ila kwa mapenzi ya Baba alie mpeleka. Hata shetan anamtegemea Mungu vilevileKwanini kila jambo mnamsingizia mungu?? Kweni hayo majanga shetani hawezi yafanya. Acheni ujuha wa kumsingizia Mungu kila janga, mengine tunayadababisha sisi wenyewe kwa umbumbumbu wetu.
Jamani tujiulize hii sinkhole inasababishwa na nini na kwanini itokee eneo hilo? Mawazo yangu nilikuwa nifikiri labda ni shimo lililokuwa limechimbwa na wajengaji nyumba husika kama escaping hole wakati wa Danger. Kama sii hivyo inabidi tuumize kichwa zaidi ya jibu jepesi kuwa ni jambo la kawaida tu. Akili zangu zinakataa kushawishika kuwa ni issue ya kawaida.
.
Kwa hiyo unamaanisha kuwa Mungu ni mkatili, muuaji na anasababisha mateso na maumivu kwa binadamu aliowaumba yeye mwenyewe? Mi siamini hivyo, Mungu nimjuaye mimi ni mwenye huruma, anaponya mwenye subira ndio maana alituletea Yesu kuonyesha upendo wake kwetu ili tupate kuokoka. Na alisema kwamba hataiangamiza tena dunia hata kama kama akibaki mtu mmoja tu asiye na dhambi.