hivi ndivyo nilivyoikosa bikra na sijutii.

hivi ndivyo nilivyoikosa bikra na sijutii.

I was addressing the guys who were arguing with u. Man unazingua mbaya kabisa.

the best way to avoid me is to stay from thread rather than comment do as other people do why are you complicate umetumwa
 
sijaleta story hapa ili nisifiwe kwa uandishi lengo langu ni kufikisha ujumbe tu na singinevyo
ndiyo umeshindwa kufikisha ujumbe mimi hata sijamalizia mpk chini nilivyoona hueleweki nikarudi zangu back
 
ndiyo umeshindwa kufikisha ujumbe mimi hata sijamalizia mpk chini nilivyoona hueleweki nikarudi zangu back

0na kumbe umeishia kati ujumbe upo mwisho kule ambako wewe haujafika
 
why thread is too long!just try to summarize to receive more response!
 
why thread is too long!just try to summarize to receive more response!

yaani nimejitaidi sana hapo nimepunguza kama kurasa tau hivi kwa hilo utakua unanionea
 
tukusamehe wewe ni thinker kwa watoto wenzio wa fesibuku .....vipi umeshajiandikisha kurudia mitihani!
 
Story nzuri ila sasa sentensi haina koma, nukta, yaani ni mnyororo tu jamani. Hujui aya imeanzia wapi na imeishia wapi? Tukiambiwa tuandike nsha mashuleni tunapata sifuri. Anyway, mkuu ulionesha ukomavu maana mwanamke akishakuwa shobo ni hatari sana. Halafu mwanamke akishampa penzi uncle ni laana!! Tena ni kwa nini uliamua kutembea naye wakati alishakuwa na laana ya kulala na uncle wake. Kizazi na maadili vimeangamia.
 
tukusamehe wewe ni thinker kwa watoto wenzio wa fesibuku .....vipi umeshajiandikisha kurudia mitihani!

na uhakika huna uhakika na unakiongea kwa taarifa yako namalizia degree yangu ya kwanza mungu akupenda najiandaa ku=chukua master very sooon polee sana kwa kukurupuka
 
subiria tusi,maana huyu jamaa mgumu kweli kuelewa

mgumu kuelewea ni wewe ulieshindwa kuelewa kiswahili fasaha nna unae ogopa matusi wakati matusi haya ui wala haya dhuru kwani ni muunganiko wa herufi tu
 
sijaelewa lengo la mwandishi... Na sijaelewa kama ni form four leaver au ....
 
nimeleta hapa ili nipate maoni wanasema no body is perfect lakini kwa hili mimi nahisi nipo sahihi kwa 100% naitaji chalenge za kunikosoa juu ya hili kama si kuachana nae am sure leo nisingekua chuo kikuu sababu kipindi nipo nae perfomance yangu ilishuka sana na kukonda nilikonda alikua pasua kichwa japo ndio alikua bikra kwa hiyo nilifanya maamuzi magumu na sahihi hivyo nimeleta kwenu kwa yeyote atakaeweza kunikosoa na anipe sababu kama nilikosea
Mbona unang'ang'ania alikuwa bikira wakati hata hukuiona hiyo bikira .....ndugu yangu nenda kwa psychiatrist.
 
Mbona unang'ang'ania alikuwa bikira wakati hata hukuiona hiyo bikira .....ndugu yangu nenda kwa psychiatrist.

bikra hainekani kwa macho bali ni kwa kuingiza kidole kuangalia kama ile nyama ngumu kwa ndani ipo au la
 
na uhakika huna uhakika na unakiongea kwa taarifa yako namalizia degree yangu ya kwanza mungu akupenda najiandaa ku=chukua master very sooon polee sana kwa kukurupuka
aisee una degree ya nini ! Ndio mkisomea tabia za wadudu na wanyama hata kundika kisomi hamjifunzi ......nimekiogopa chuo kilichokupa degree na unaandika sentensi ulizoandika!
 
Back
Top Bottom