Mzungu ni nani?

Mzungu ni nani?

Duniani kuna jamii nne za binadamu
1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)

Hizi ndizo jamii kamili za binadamu pia kuna jamii nyingine tofauti ambayo wapo wengi sana jamii hii inatambulika kama

Mixed race (chotara)
jamii hii watu wengi wanajua ni muunganiko wa mweusi na mweupe ndio wanaitwa mixed lakini si lazima hwe hvyo mixed anaweza kuwa mchina na mjapani au mwarabu na mzungu so mtoto atakaye toka hapo atakuwa mweupe pee

Sasa hoja hapa ni Mzungu ni nani?

Mzungu pure wanasema lazima kuwa na Kigezo kimoja kati ya 2
1 Blonde hair
2 Blue eyes

Mtu anaweza kusema wazungu ni watu wengi Asili ya Ulaya lakini wazungu wenyewe wanasema Spanish, Turkey, Italy, Greece si wazungu pure ni mixed race na Nchi nying sana ni kutoka jamii hii ya Mixed race ( chotara )

Wanasema wazungu pure ni Germany, Denmark, Sweden, Russian, Poland ,Ukraine etc

Blonde hair ndio kigezo kikubwa kwani wanasema katika jamii zote 4 Blonde hair zipo kwao tu ndo maana ni vigumu kumkuta mchina au mkorea wanablonde au kukita Negro ana blonde

Blonde hair unakuja kuzikuta kwa baadhi ya Waisrael ndio maana kuna msemo wanasema Waisrael wa sasa si wale wa enzi za Yesu,Musa hawa ni mchanganyiko wa Waisrael pure na mizungu

Ukiangalia wengi walikuwa Germany na Russia , Poland kule kwenye wazungu pure
 
Hivi hao watu wanajua kuwa wanaitwa 'wazungu'?
Baadhi yao wanajua kama wanaitwa wazungu hasa hasa wale waliopata nafasi ya kuishi na wabantu kama sisi huku East Africa. Kwa mfano mm nafanya kaz kwa wakaburu hapa GGM ila watu wanasemaga nafanya kaz kwa wazung na wao wanajua kabisaa kama tunawaita wao ni wazung na sometimes kwenye utan huwa wanajitaja kuwa wao ni wazung ingawa ni kwa nadra sana
 
Back
Top Bottom