Ushoga wa wanaume, Aisee unaisha vizuri.

Kweli inachanganya hata mie imebidi nirudie mara3 ili kuielewa. Ni kama shm ndogo kutoka kwenye hadithi ya Shigongo
Ila ukiielewa inafurahisha lol jamaa mjanja yeye hajataka kulipiza kwa Risasi kaona bora aambulie mil 5 tu teh
 
Daa... story nzuri sana..
Ila jamani kumegewa mke ni balaa, ntaua mtu.. tena rafiki yangu..
 
we ni mbulula huelewek... nahisi ww utakua ni mmoja kati ya 60% za mulugo
mkuu usitukane,wewe ndiye umeshindwa kuelewa!fundisho hapo ukijua mtu anakulia mkeo,wewe kamkope kisha deni hamisha kwa mke.huyo mwanaume hataweza kumdai mkeo.utakuwa umewatesa kisaikolojia
 
Jamaa anajua kuwa mke wake anamegwa na rafiki yake kwa makusudi akaenda kumkopa sh million 5, kwa hiyo hizo m 5 ndo malipo yake. sasa jamaa mla mke alipoenda kudai million 5 yake kaambiwa akamdai nyumba ndogo yaani mke wa aliyekopa, patamu hapo, mke nae kashindwa kumwambia mzinifu mwenzake badala yake kaenda kumwambia mke wa huyo mzinifu mwenzie so sheshe liko kwa akina mama wkt wababa wametulia tu

Hee mi sijaelewa hiyo story.
 
Uandishi mwingine sijui vipi kwa kweli. Jamani sio lazima kupost atii
 
jjjjjj kibao unatuchanganya tu..akilizilishachoka sasa hivi.

nimechanganyikiwa. narudia mara ya 5 sasa. sijui kama ntaielewa.

Very difficult to understand.

Hee mi sijaelewa hiyo story.

ni kama sijaelewa hiv!
au hizi ndyofu alizonitumia Erickb52 kwa telepathy?mwe!
uandishi kazi jamani!

Nilidhani mie pekeyangu ndio sijaelewa!

Hii ndio sababu hatuna wabunifu, hata kuwakilisha story tumeshindwa.

Mmmh cjaelewa

we ni mbulula huelewek... nahisi ww utakua ni mmoja kati ya 60% za mulugo

Kweli inachanganya hata mie imebidi nirudie mara3 ili kuielewa. Ni kama shm ndogo kutoka kwenye hadithi ya Shigongo

Aiseeeeeeh! Hamjaelewa eti eeehhhhh!
 
Kweli inachanganya hata mie imebidi nirudie mara3 ili kuielewa. Ni kama shm ndogo kutoka kwenye hadithi ya Shigongo

Labda mwanaume sharobaro ndo anaweza kubali mkewe aliwe uroda na urafiki uendelee,mwenye akili timamu urafiki ungefia hapo hapo na deni angelipa ili kuondoa mzizi wa fitina.

Jamaa kalidhia mke wake kuwa na mitala na mahali keshachukua m,10

kyanaKyoMuhaya ni kabila gani hilo wanaloruhusu mtu kuliwa Manzi wako halafu unarudishiwa mke aliyelimwa kisawasawa
Mimi jkwanza tungeshaachana na huyo malaya

Ushoga ukowapi hapo? kiswahili kama kichina.kuelewa shule yahitajika. wanaume ni marafiki, ushoga kwa mwanaume ni usenge yaani kugeuzwa nashidwa niandikeje. kwaufupi kufirwa samahani kwa maneno makali imenilazim

Au mwenye HIV ili jamaa naye ajipakaze.

Is this a joke? Nyie wanawake hamjui uchungu wa kumegewa! Yani hata ulipwe milioni 100 bado utakua unaskilizia maumivu tu, haya mambo ya kuvumilia mnayaweza wanawake manake hata mkifumania mpo tu tena hamlipwi hata senti!!

Hahahahahaa snowhite mi nimeelewa ila kwa kurudia mara tatu tena nikiwa nimekunywa maji sio ndofu.
Heheheheee yan kama umegonga ndofu humu huambulii kitu labda hii story iwekwe kwenye movie....ila ni nzuri sana nimeipenda.

Ila ukiielewa inafurahisha lol jamaa mjanja yeye hajataka kulipiza kwa Risasi kaona bora aambulie mil 5 tu teh

Anaelewa ila inabidi ukomae nakutuliza akili mkuu....ukiona umeshindwa kabisa basi wewe ndio mbulula na miongoni mwa 60% za Mulugo #justJocking

Daa... story nzuri sana..
Ila jamani kumegewa mke ni balaa, ntaua mtu.. tena rafiki yangu..

mkuu usitukane,wewe ndiye umeshindwa kuelewa!fundisho hapo ukijua mtu anakulia mkeo,wewe kamkope kisha deni hamisha kwa mke.huyo mwanaume hataweza kumdai mkeo.utakuwa umewatesa kisaikolojia

Jamaa anajua kuwa mke wake anamegwa na rafiki yake kwa makusudi akaenda kumkopa sh million 5, kwa hiyo hizo m 5 ndo malipo yake. sasa jamaa mla mke alipoenda kudai million 5 yake kaambiwa akamdai nyumba ndogo yaani mke wa aliyekopa, patamu hapo, mke nae kashindwa kumwambia mzinifu mwenzake badala yake kaenda kumwambia mke wa huyo mzinifu mwenzie so sheshe liko kwa akina mama wkt wababa wametulia tu

Uandishi mwingine sijui vipi kwa kweli. Jamani sio lazima kupost atii

Thanks great thinkers, nilitaka kuthibitisha uki andika story unarudia rudia majina ni ngumu kueleweka. Watu wanapenda spoon feeding and not analytical discussion.
 
Jamaa anajua kuwa mke wake anamegwa na rafiki yake kwa makusudi akaenda kumkopa sh million 5, kwa hiyo hizo m 5 ndo malipo yake. sasa jamaa mla mke alipoenda kudai million 5 yake kaambiwa akamdai nyumba ndogo yaani mke wa aliyekopa, patamu hapo, mke nae kashindwa kumwambia mzinifu mwenzake badala yake kaenda kumwambia mke wa huyo mzinifu mwenzie so sheshe liko kwa akina mama wkt wababa wametulia tu

mwana JF said:
mkuu usitukane,wewe ndiye umeshindwa kuelewa!fundisho hapo ukijua mtu anakulia mkeo,wewe kamkope kisha deni hamisha kwa mke.huyo mwanaume hataweza kumdai mkeo.utakuwa umewatesa kisaikolojia

Erickb52 said:
Ila ukiielewa inafurahisha lol jamaa mjanja yeye hajataka kulipiza kwa Risasi kaona bora aambulie mil 5 tu teh

ahsante ram, na Mwana JF na Erickb52 hakuna jina wataelewa wengi, that is it, absolutely.
 
Last edited by a moderator:
Wenye akili za shake well before use tumetoka kapa,,, kuelewa hii story inabidi uwe kichwa..

Ngoja tuwaachie first class student waje watuchambulie,, jamani mlioelewa msisahau kututengenezea summary ndugu zenu tuelewe pamoja
 
John yuko kwa Jesca na Jesca ni mke wake Jeff. Jeff na John ni marafiki na mke wake John anaongea na Jeff kuhusu Jesca ambaye ni mpenzi wake Jeff. John amemkopa Jeff na ambaye ni mume wake Jesca na ni marafiki wa yeye na mke wa John ambaye Jeff in mumewe na rafiki wa Jesca...:A S-frusty:
 
John Yuko kwake katulia na Jeff yuko sebuleni hana habari, wanawake wanatoana macho. Hivi wanaume wakoje. karibu kila mtu anajua picha isipokuwa mke wa John, Jeff keshachukua fidia yake ya ugoni. yaani usipime .

Kweli huo unafiki ufe maana naona kuna vinyongo vya muda mrefu na ambavyo sidhani kama vimeishia hapo. Na akina mama na pia sote tuache kugombana kwa mipesa maana inapita tu kama sisi tunapita je pesa si ndiyo khali mbaya zaidi?
 
Haya ndiyo matunda ya Mulugo msaidizi wa the Edn.Minister na shule zetu za Kata zisizo kidhi viwango
vya ufundishaji!!!!
Hii story mpaka uweke miguu kwenye maji zaidi ya masaa kadhaa ndo uielewe!!!

Teh!teh! teh! Hiki ndicho kiswahili lugha ya Taifa letu
:A S 114::A S 114::A S 114::A S 114:?!!!!!!!!!
 
John yuko kwa Jesca na Jesca ni mke wake Jeff. Jeff na John ni marafiki na mke wake John anaongea na Jeff kuhusu Jesca ambaye ni mpenzi wake Jeff. John amemkopa Jeff na ambaye ni mume wake Jesca na ni marafiki wa yeye na mke wa John ambaye Jeff in mumewe na rafiki wa Jesca...:A S-frusty:
Nimechekaje? Ila umekosea kidogo John alimkopesha Jeff. JF raha kweli,kweli.
 
Back
Top Bottom