Recent content by Willegamba

  1. W

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Subutu yao?!! Wakutupe gerezani waone chamtemakuni, kila jambo linamwanzo na mwisho, mwisho wao unakaribia.
  2. W

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Utakufa ww masikini sio wenzio, amani unaijua au maigizo?
  3. W

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Sehemu ya utambi wa koroboi uliopo ndani ktk mafuta ya taa haujui kama sehemu yake ya juu inateketea kwakuwa mafuta ya taa ni ya baridi. Tafuta mapema pakukimbilia maana hatutatoboa bukumbili na kumi na moja lazma kieleweke. Una homoni za fisi tafuta fisi wenzio muhame.
  4. W

    Nape: CCM kuwarejesha kwenye ukweli vijana waliopotoshwa na wapinzani

    Wazo lake ni zuri, huo ni mtizamo wake lakini je (1)ccm imewasaidiaje wasomi wanaodhurura na kushida kijiweni na digirii zao posipo na ajira baada ya kuipata elimu hiyo kwa mbinde (fedha kiduchu ya kujikimu mikopo ya ada inayotoka kwa kushinikizwa na maandamano ilhali ni haki yao hasa watoto wa...
  5. W

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Tafuteni kadi zenu za kupigia kura wale wote ambao mnajua machaguo yenu yamewasaliti ili kurudisha viti vyetu vyote na jimbo jipya la igunga.
  6. W

    Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

    Aliemgonga akipatikana maelezo yatajieleza mipango ya Mungu au ya shetani
  7. W

    LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu’ ya Bulyanhulu

    Serikali iliyopo madarakani ndio ilitenda huu unyama uliovuka mipaka na unaokiuka hata amri za Mungu. Sio rahisi ijichimbie kaburi yenyewe, kwa kudra zake Mungu tukifanikiwa kuibadilisha serikali hii onevu na kiziwi ya manavu yote yatafanyiwa kazi na wahusika watawajibishwa vinginevyo tutasaga...
  8. W

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Go to he'll Zombe we don't need y'ou n we don't like y'ou
  9. W

    Ole sendeka aichana vilivyo hotuba ya bajeti ya Magufuli

    Wataumana wao kwa wait,sie yetu macho
  10. W

    Mrema aitolea uvivu CHADEMA

    Huyu shuhuda wa babu wa loliondo sijui kwanini alipewa kikombe, hana haja ya kujinyonga atanyongwa na sukari. Ile ni kesi ukimkamata ukamlisha sukari kinaeleweka parapanda za kutosha tunawapelekea vunjo kichwa chao walichoona kinafaa kuwawkilisha bungeni.
  11. W

    Nani anaenyoa watu usiku jamani??

    Aliogopa kuonyesha sehemu nyingine alizonyolewa ila huyu kinyozi aishie hukohuko mtaani kwenu asije akakosea akanifyeka my pencil yangu.
  12. W

    Wanaume uwezo umeshuka?

    Point is this kuipata shilingi ni shughuli ili uridhike na unachokitoa ni lazima kukopa nguvu ya ziada ili ukitoka hapo cku 4 huna kihoro.
  13. W

    Namuheshimu mama yangu lakini simpendi

    Kazi kidogo huyo mom anapenda chapaa zaidi na wadogo zako wanamtoa zaidi. Fanya hivi, waulize ndugu zako wanaichukuliaje hiyo hali? Wanafurahishwa? Kama hapana watatatuaje tatizo? Kama watakupuuza hunabudi kufanya mambo yako kimyakimya na kukubaliana na hali ulionayo ikosiku utakuwa na thamani...
Back
Top Bottom