Recent content by Whydriver

  1. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Unateseka ukiwa wapi mkuu?
  2. Whydriver

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

    Hao jamaa ni balaa, nilikata tiketi ya 95k kutoka dar kwenda tarime, muda wa safari ulivofika wakaleta gari ya 85k, nilivouliza nkaambiwa dakika za mwisho mafundi wao walisema gari haiko sawa kwaio haiwezi kusafiri, nikaomba kurufishiwa kilichozidi, wakasema wanasubiri gari ikianza safari abiria...
  3. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Katuga, kwanini unakuwa na chuki binafsi na Lissu?

    Sio almost, Lissu kamzidi kila kitu kwa kila nyanja
  4. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Husda itakumaliza wewe!
  5. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Simba wa nyika huyu. Watu aina ya TAL hutokea mara moja baada ya vizazi kadhaa, kwa kizazi tuliobahatika kumshuhudia TAL twapaswa kushukuru sana.
  6. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Goba Kwa ulomi plot for sale

    25m ipo hapa mkuu, ikiwa utaihitaji, pm yangu iko wazi sana, utancheck tukamalize mchezo!
  7. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2013 BMW X1 iliyokuja na Tronic gear iko sokoni

    Ukihitaji 8m, pm yangu iko wazi, nitafute tumalize mchezo.
  8. Whydriver

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Kwahio miaka mingapi walokuwa nae TAL alikuwa anakusanya kodi yeye ili kuwaletea hayo maendeleo?
  9. Whydriver

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wajawazito wanalipishwa, risiti hawapewi katika Idara ya Afya Mpanda Manispaa Mkoani Katavi

    Mwezi uliopita mke wangu alienda kuanza kliniki kwa mara ya kwanza, vipimo alivyofanyiwa kwa mana ya kuchekiwa HIV, wingi wa damu na chanjo na kuanzishiwa kadi ya clinic, alilipishwa 38k
  10. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani?

    Ikiwa nimenunua kiwanja kihalali, na mikataba yote, na ikapita miaka 5 bila kufanya transfer ya umiliki, kisheria naweza kupoteza umiliki wa kiwanja hicho?
  11. Whydriver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utundu wa huyu dada unanipagawisha

    Gen Z wa kitanzania
  12. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania nendeni mkajifunze kwa wenzenu wao wamewezaje?

    Asubuhi hii ya leo nimepokea text ya namna hio kupitia line ya voda buda.
  13. Whydriver

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji

    Unaambiwa na nani mkuu?
  14. Whydriver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na makamu wake washaanza kutofautiana!

    Akili za wana ccm bhana, yaan mpaka aibu!
  15. Whydriver

    JamiiForums Tanzania Kosa langu nini ni Vannesa?

    Nyumbani kwao ulikuwa unapafahamu, kwanini hukwenda kwao kumuulizia kutaka kujua nini kilimsibu ama alikwenda wapi?
Back
Top Bottom