Swali la leo: Hivi mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke wa ndoto zake au mwanamke mwenye kipato chake?
Tuseme umekutana na mwanamke ambaye anakupenda kwa dhati, anakuheshimu, ana tabia nzuri, mnaelewana na unaona kabisa ndiye mwanamke uliyekuwa ukimtamani katika maisha yako. Lakini hana kipato cha...

Nyie ndo wakutukanwa ,sasa nyumba ingebaki na jina lile lile kulikua na shida kwamba baba atauza siku za usoni ,tamaa mbn iko kwa huyo mwanamke aliyeona hapana sitosheki na maisha haya ila kila kitu nikimiliki kwa jina langu ,mkuu hisia weka pemben id yako inatufikirish sana
Nawez kuunga hoja wachangiaji wajuu wote naona hisia kama hivi katika majibu yao wakuu hauwezi kuhukumu hivi na taarifa unazo finyu tutulie ,kwan shida nn mpka atake hati ibadilishwe majina kama ni mwanamke mzuri ,si tamaa hizi.
Kaja kuwasanua watu wapambanie jambo na anajitoa sadaka ,badala ya kuunga mapambano wamekaa kusubiri nini kinafuata anapotea basi mapambano yaanze kimya wamefyata mkia hovyo sana .
Kabla sijasahau kusema naomba nitoe mchango wangu ,
Anayepotezea mambo kidgo kidgo ataanguka kidgo kidgo .
Nchimb hakuwa kiongozi wa ccm pekee ila Wanachi wa Tanzania kama sisi wenyewe tunasauti ya kuhoji tuko kimya, ila njoo maswala ya kipuuzi puuzi tuko juu sana kufuatilia yasiokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.