Recent content by werda

  1. W

    JamiiForums Tanzania Joint venture opportunity

    Kuna construction project imepatikana mwenye mtaji njoo tushirikiane.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mwaiposa na uuzwaji wa “Maji ya Baraka” ni wizi mtupu

    Akina Osama Bin laden Ile ni vita ya kisiasa siyo dini usichanganye mambo
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake

    Mkopo ni mkopo tu uwe wa ndani au nje ukope kwa mzungu au mweusi wewe umekopa tu, lakini si ulisema unazo za kwako?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kazi

    0688772701 piga namba hiyo.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Anatakiwa fundi ujenzi (VETA) mmojana fundi mchundo ujenzi mmoja
  6. W

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatumia mpira wa miguu kunung'unika.

    Naona Tumkey umetoa maneno makali na yenye hisia kali sana. Kwani ni lazima uungane nao Zenji? unashida na ardhi haikutoshi? Unafikiria hata kuchoma maduka yao na kuwafukuza wakikataa kuendelea kuungana na wewe hayo ni maneno hatarishi kwa amani yetu adhimu na adimu epukana nayo.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kina uzwa.

    Igoma machinjioni ni wapi?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ijue Botswana japo kidogo tu

    Kante ke rata dijo tsa bone wa etse se kana ka: mutogo, setswaa, magwinya le dinawa..
  9. W

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

    Tuki ninihii demu yule alikuwa ana quick multiple orgasms hanichoshi
  10. W

    JamiiForums Tanzania SAMSUNG GALAXY A8 FOR SALE

    Bei gani?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu "vita" kati ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Hii vita ni N korea, Urusi na China vs S Korea, na Marekani elewa hivyo. Sishangai America kushindwa kwani Ana uzoefu huo tena na vi inchi vidogo kama Vietnum.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Diamond kurudisha kwa jamii kwa kujenga hospitali ya Moyo Tandale

    Acheni ushamba watu maarufu huanzisha na kufanya vitu kama hivyo vya kijamii kupitia foundation zao. Hata akiwa tu hata na 20 percent ya gharama zote. Jambo litakwisha tu. Matajiri wapo wanasubiri ukianzisha tu.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (partner) kwa kazi za Civil engineering & Building contract

    Mtandao wa kazi na uzoefu upo 0688772701 Nitafute.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Yaani kwa akili yako unadhani marekani anaenda kupigana na north korea peke yake! Kuna China na urusi nyuma yake. SI VITA NDOGO. Tusijidanganye
Back
Top Bottom