Kiwanja kina uzwa.

Oct 21, 2017
33
95

Kipo maeneo ya igoma machinjioni kina upana wa 25 mt na urefu 55 mt, hakina mgogoro. Wasiliana na 0763269695 ilikupata maelezo zaidi pamoja na bei.
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,540
2,000
Kipo maeneo ya igoma machinjioni kina upana wa 25 mt na urefu 55 mt, hakina mgogoro. Wasiliana na 0763269695 ilikupata maelezo zaidi pamoja na bei.
Akili yako uliyotumia kujiunga hapa JF inakuambia kua kwa vile tu wewe unapajua Igoma machinjioni basi kila mtu humu atakua anapajua hapo mahali.
Tangazo likikosa wateja unaanza kuwaza labda pengine umelogwa, tabu sana aisee
 

auferet dominus

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,373
2,000
For effectiveness weka bei indicative. Wasioweza hawatakupigia simu watacomment hapahapa na unaweza pata mteja haraka zaidi. Na akikupigia mtu ujue huyo yuko serious. We ona tangazo toka asubuhi lina replies 4 tu sijui, hiyo ni sawa?
 

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,696
2,000
IGOMA iko Mwanza njia kama unaenda musoma!
Ni kilometers kama 12-15 kutoka katikati ya jiji la Mwanza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom