Recent content by WenGer1

  1. WenGer1

    Vijana mliofaulu Form six nashauri nendeni VETA kuliko kwenda vyuo vikuu kupoteza muda na gharama zisizo za lazima

    Graduate wa darasa sio Graduate wa Maisha... Hata huko pia Mambo ni yake Yale siku hizi hakuna pakukimbilia Cha msing kwenye kutoboa lazma ujitoe ufahamu kwanza Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  2. WenGer1

    Washambuliaji wengi wa Tz hawana uwezo wa kuamua mechi

    Hakuna Cha kulaumu hapo ndo uwezo wetu ulipoishia kwa uwekezaji kbongo kbongo usitegemee kuona quality players, mpira wa Zama hizi umebadilika jarbu kuangalia hata training session za hao unaowasifia ndo utajua kwann wapo hvyo.. budget ya timu ya mwaka mzma wenzenu wanatumia kusajili mchezaji...
  3. WenGer1

    Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

    Bongo nyosso Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  4. WenGer1

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Mtu anaandika story anaweka Alama za koma funga na fungua semi paragraph.. hakuna story hyo Ni copy & paste Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  5. WenGer1

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtndo wa kurudia tmu mikeka Zaid ya mmoja Ni uchiz kmenikuta na leo mikeka mi3 yote pek yak Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  6. WenGer1

    Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

    We na huyo dada Hamna tofauti..
  7. WenGer1

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya wadau hivi Ni ligi zipi kuanzia msimu zinaanza kutumia Sheria mpya ya offside..
  8. WenGer1

    Nauza gauni za Dubai kwa bei ya jumla ya Tsh. 5000/-

    Kuna watu miyeyusho sana hao wanaotaka picha hakuna mnunuaji hata mmoja Kama mtu unahitaji kitu na namb imewekwa si uchukue namb yak muwasiliane
  9. WenGer1

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mtu anaacha kumalizia kisa watu wanamdiss kmmk...
  10. WenGer1

    Ma-jobless thread

    Nilifanya kazi ya saidia fundi tukawa tunachimba pemben ya ukuta(ulikuwa mfupi ila mfupi kwa juu kulikua na waya kama wa senyenge umesapoti inchi6 tofali) tulikua tunachimmba mtaro wakupitisha bomba.. ilikua kipind cha masika kwahyo mkichimba leo usku mvua ikinyesha kaz kama inaanza tena kesho...
  11. WenGer1

    Ma-jobless thread

    [emoji23][emoji23][emoji23] kummk!
  12. WenGer1

    Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

    kuua waue wengne picha muuoshe sura nyie
  13. WenGer1

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi system betting kwenye playmaster ina maaana tofauti na mimi ninavyodhani au.. kwamba unaweza ukachagua mechi tano lakin kwenye combination ukaweka 4 of 5 au hata 3 outof 5 ikiwa na maana kwamba katika game tano hata game moja ikilost mkeka unakua umetik auu .. ?? Ila ni lazma uchague odd...
  14. WenGer1

    Uzi maalum kwa jobless kufahamishana mbinu wanazotumia kuishi

    Nilimuona jamaa ana reset paswad ya facebook kwa elfu tano...
  15. WenGer1

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kukuru kakara za chelsea kula umeme macty kutanguliwa chuma mbili arseno kuongozwa Daaah.. Niishie kusema ku****ye zenu Bayern na kipa wa borussia Mk***u wake saves 19
Back
Top Bottom